Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Kwa akili yako ya kijinga,kaka alikuwa anakunywa pombe,mbona Uisilamu unakataza,
Allah anasema wenye hekima wanajua utamu wa pombe


Koran 16:67 And from the fruits of date palms and grapes, you derive strong drink and a goodly provision. There is indeed a sign in this for those of reason


Unataka kutuaminisha pedophile Muhammad hakuwa na hekima
 
,ghalama yako itakuwa ni kuwa Muisilamu tu
Mwambie wazi akishakiwa muislamu akitoka anapigwa jambia la shingo

Muhammad said: 'Whoever changes his religion, kill him.'"Sunan an-Nasa'i 4063
 
Modern type of life with independent decisions, not that much guided by religion
Uislam ni Dini ya Kimapokeo! Iko vile vile,Jana,Leo na Kesho! Issue kuu ya Wakristo kuto kuoa mapema ni Complications zilizopo,Anzia mahali,sherehe plus Modernity kama Haki za Binadamu,Usawa,Watoto wachache.
 
Uislam ni Dini ya Kimapokeo! Iko vile vile,Jana,Leo na Kesho! Issue kuu ya Wakristo kuto kuoa mapema ni Complications zilizopo,Anzia mahali,sherehe plus Modernity kama Haki za Binadamu,Usawa,Watoto wachache.
asante sana
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Ndoa za mfungo
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Ndoa za kiislamu hizi za miezi 6 km mkataba wa kodi ya chumba?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu anastuka? Ndoa au kurahisisha kungonoka??

Tupishe sie khaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
simple,ni kwamba kwa waislam mke akileta jeuri talaka ni chapchap,lakini kwa wakristo mke akileta jeuri talaka ni kazi kama kumtia dole simba jike mwenye watoto
 
Matumizi ya neno 'nadra' yaheshimiwe
 
Ndoa za kiislamu hizi za miezi 6 km mkataba wa kodi ya chumba?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu anastuka? Ndoa au kurahisisha kungonoka??

Tupishe sie khaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hapo ndo umejibu nini? Nilitegemea uje na points zinazosababisha waislam kuwahi kuoa na wakristo kuchelewa kuoa, lkn umeishia kutoa maneno ya kejeli na dhihaka.
 
MUNGU ALIUMBA ADAMU NA HAWA WAKIWA WAWILI TU KAMA MME NA MKE.

HAKUMPA ADAM WAKE WANNE.


HAO WAKE WANNE MNAWATOA WAPI???

HIZO AHADI ZA MITO YA ULEVI NA BIKRA 70 MNAZITOA WAPI??????????.

MKE NI MMOJA TU NA KUMPATA MWENZA SAHIHI WA MAISHA YAKO SI LELEMAMA.
 
Modern type of life with independent decisions, not that much guided by religion
Mimi ni muislaam, ila misimamo ya atheists kwangu Mimi siipendi bora mayahudi na wakristo....

Kwanini?

Kwasababu wayahudi na wakristo
1. Hawakatai habari ya dini ila dini yao yanayoifuata sio ya haki
2. Unaweza tumia aya nyingi sana kutoka kwenye vitabu vya wenzetu(biblia) kuwarudishia pale wanapokuwa wamepindukia mipaka mfano issue ya ushoga imeelezewa kwenye mkasa wa sodoma na gomola kwenye bible

Sasa je? Atheist utamrudisha vitu kwenye njia ilhali vitabu vyote na dini zote zishamfikia ila kwake anaamini ni ngonjera na namna ya kumteka mwanadamu na kumtawala.

Sasa watu kama huyu Retired utamshawishi vipi na kumelimisha kuwa ushoga ni uchafu ulio wazi kwa reference ipi labda?keshakuambia modern type of life with independent decisioo not much guided by Religion??? Anavyo religion amaanisha zote sio uislaam pekee...

Kumbuka mtu ambae hayupo guided by religion tena akuambia modern type of life huyu pia hawezi kuwa guided by traditions and customs

Aya sasa utamwambia vipi LGBTQ ni uchafu ulio wazi mtu sampuli hii???

Maana ya modern type of life ni mtu afanye atakalo maadam hajavunja sheria za nchi ni kumbukeni Tanzania kwa sheria zetu si kosa mtu shoga
 
Umeandika vema, nataka watu kama nyie ambao you can argue your case and not ad hominem argument. Asante sana.

Lakini human behavior is not only guided by religion. There are several other attributes that can shape/define our behavior. Ukizikusanya hizi faculties, ukazitumia, I do not need have to do anything with religion or atleast if needs to be must be to the minimum

I am very much inspired by Gurdeep Singh, and I quote him: "It is our thoughts that define our habits, and habits define our behaviour, the behaviour builds our character and it is this character that gets us the results in our life”

If we understand these 6 mental faculties that define us and our actions, then we can bring a drastic positive change in our lives and can perform at our best.

These mental faculties are:

1. Imagination

2. Perception

3. Will

4. Memory

5. Intuition

6. Reason
 
Kama hamtaki kuoa kwa nini mnazini ??au nyiyi mashoga sababu shoga hataki kuoa
Wewe huwezi kufikiri kidhahania, yani hujui Socratic method, hujui kwamba mtu anawez akuwa anataka kuoa, na ameoa, lakini anatetea haki za wengine wasiotaka kuoa.

Yani ukisikia mtu anatetea haki za watu weusi, automatically unahitimisha kwamba na yeye ni mweusi.

Huna uwezo wa kufikiri kidhahania, kwa hivyo, kwangu mimi ninayependa kufikiri kidhahania, ni vigumu sana kuelewana nawe.

Kwa nini unanijumlisha katika kundi la watu wasiotaka kuoa? Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unaweza kuongelea dhana badala ya kuongelea mtu tu?
 
Ndio maana vijana wengi wa Kiislamu hawana elimu ukilinganisha na wakristo badala ya kwenda shule na kusoma wao wanakimbilia kuoa si ajabu kumkuta kijana wa Kiislamu mwenye miaka 30 ana wake 4 na utititiri wa watoto ambao nao kama ilivyo kwa wazazi wao watafuata mzunguko huo huo.
 
Dini ni neno la lugha ya kiarabu lenye maana nyingi miongoni mwake (mwisho wa dunia) maana nyingine (amani)maana nyingine(mwongozo wa kumpeleka mja kwa mungu baada ya kufa)ifahamike neno 1 la kiarabu lina maana zaidi ya 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…