nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Diamond ni Dini gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah anasema wenye hekima wanajua utamu wa pombeKwa akili yako ya kijinga,kaka alikuwa anakunywa pombe,mbona Uisilamu unakataza,
Hapo tu ndo jua litanyesha na mvua itawakaa!!!Njoo nikuozeshe bure,ghalama yako itakuwa ni kuwa Muisilamu t
Mwambie wazi akishakiwa muislamu akitoka anapigwa jambia la shingo,ghalama yako itakuwa ni kuwa Muisilamu tu
Uislam ni Dini ya Kimapokeo! Iko vile vile,Jana,Leo na Kesho! Issue kuu ya Wakristo kuto kuoa mapema ni Complications zilizopo,Anzia mahali,sherehe plus Modernity kama Haki za Binadamu,Usawa,Watoto wachache.Modern type of life with independent decisions, not that much guided by religion
asante sanaUislam ni Dini ya Kimapokeo! Iko vile vile,Jana,Leo na Kesho! Issue kuu ya Wakristo kuto kuoa mapema ni Complications zilizopo,Anzia mahali,sherehe plus Modernity kama Haki za Binadamu,Usawa,Watoto wachache.
Ndoa za mfungo1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!
2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.
3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
Ndoa za kiislamu hizi za miezi 6 km mkataba wa kodi ya chumba?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!
2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.
3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.
simple,ni kwamba kwa waislam mke akileta jeuri talaka ni chapchap,lakini kwa wakristo mke akileta jeuri talaka ni kazi kama kumtia dole simba jike mwenye watotoNa hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku suala la mahusiano wapo wanaoishi na wanawake bila ndoa wengine ni mwendo wa kubadili tu.
Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Kuhusu suala la mahari nimeweka hayo makundi mawili kwa maksudi maan hawa wengi kwa hali zao za uchumi pesa ya mahari hata iwe milioni 3 si jambo la kuwaumiza vichwa , Katika shirika nalofanya ni karibu vijana 80% vijana wanabadili simu bei ghali tena ni za dukani, achana na hizi refurbished, wana magari yanayopiga mafuta, kutumia elf 50 kwa siku hasa wale wa viti virefu ni kawaida. Tukija kwa wale niliohitimu nao tukiachana na ambao uchumi wao ni wazi unasua sua wanaweza kujitetea, wapo walioajiriwa kwenye kazi zenye ulaji mrefu na wapo wafanyabiashara wanapiga deals nzuri tu, suala la mahari kwao haliwezi kuwaumiza vichwa lakini bado wanakwepa ndoa..
Matumizi ya neno 'nadra' yaheshimiweNa hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku suala la mahusiano wapo wanaoishi na wanawake bila ndoa wengine ni mwendo wa kubadili tu.
Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Kuhusu suala la mahari nimeweka hayo makundi mawili kwa maksudi maan hawa wengi kwa hali zao za uchumi pesa ya mahari hata iwe milioni 3 si jambo la kuwaumiza vichwa , Katika shirika nalofanya ni karibu vijana 80% vijana wanabadili simu bei ghali tena ni za dukani, achana na hizi refurbished, wana magari yanayopiga mafuta, kutumia elf 50 kwa siku hasa wale wa viti virefu ni kawaida. Tukija kwa wale niliohitimu nao tukiachana na ambao uchumi wao ni wazi unasua sua wanaweza kujitetea, wapo walioajiriwa kwenye kazi zenye ulaji mrefu na wapo wafanyabiashara wanapiga deals nzuri tu, suala la mahari kwao haliwezi kuwaumiza vichwa lakini bado wanakwepa ndoa..
Sasa hapo ndo umejibu nini? Nilitegemea uje na points zinazosababisha waislam kuwahi kuoa na wakristo kuchelewa kuoa, lkn umeishia kutoa maneno ya kejeli na dhihaka.Ndoa za kiislamu hizi za miezi 6 km mkataba wa kodi ya chumba?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mtu anastuka? Ndoa au kurahisisha kungonoka??
Tupishe sie khaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni muislaam, ila misimamo ya atheists kwangu Mimi siipendi bora mayahudi na wakristo....Modern type of life with independent decisions, not that much guided by religion
Umeandika vema, nataka watu kama nyie ambao you can argue your case and not ad hominem argument. Asante sana.Sasa watu kama huyu @Retired utamshawishi vipi na kumelimisha kuwa ushoga ni uchafu ulio wazi kwa reference ipi labda?keshakuambia modern type of life with independent decisioo not much guided by Religion??? Anavyo religion amaanisha zote sio uislaam pekee...
Kumbuka mtu ambae hayupo guided by religion tena akuambia modern type of life huyu pia hawezi kuwa guided by traditions and customs
Aya sasa utamwambia vipi LGBTQ ni uchafu ulio wazi mtu sampuli hii???
Wewe huwezi kufikiri kidhahania, yani hujui Socratic method, hujui kwamba mtu anawez akuwa anataka kuoa, na ameoa, lakini anatetea haki za wengine wasiotaka kuoa.Kama hamtaki kuoa kwa nini mnazini ??au nyiyi mashoga sababu shoga hataki kuoa
Ndio maana vijana wengi wa Kiislamu hawana elimu ukilinganisha na wakristo badala ya kwenda shule na kusoma wao wanakimbilia kuoa si ajabu kumkuta kijana wa Kiislamu mwenye miaka 30 ana wake 4 na utititiri wa watoto ambao nao kama ilivyo kwa wazazi wao watafuata mzunguko huo huo.Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku suala la mahusiano wapo wanaoishi na wanawake bila ndoa wengine ni mwendo wa kubadili tu.
Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Kuhusu suala la mahari nimeweka hayo makundi mawili kwa maksudi maan hawa wengi kwa hali zao za uchumi pesa ya mahari hata iwe milioni 3 si jambo la kuwaumiza vichwa , Katika shirika nalofanya ni karibu vijana 80% vijana wanabadili simu bei ghali tena ni za dukani, achana na hizi refurbished, wana magari yanayopiga mafuta, kutumia elf 50 kwa siku hasa wale wa viti virefu ni kawaida. Tukija kwa wale niliohitimu nao tukiachana na ambao uchumi wao ni wazi unasua sua wanaweza kujitetea, wapo walioajiriwa kwenye kazi zenye ulaji mrefu na wapo wafanyabiashara wanapiga deals nzuri tu, suala la mahari kwao haliwezi kuwaumiza vichwa lakini bado wanakwepa ndoa..
Dini ni neno la lugha ya kiarabu lenye maana nyingi miongoni mwake (mwisho wa dunia) maana nyingine (amani)maana nyingine(mwongozo wa kumpeleka mja kwa mungu baada ya kufa)ifahamike neno 1 la kiarabu lina maana zaidi ya 1Hakuna neno ambalo halina tafsiri...Acha janjajanja wewe. Kila neno lina tafsiri Ndio maana kuna kitu kinaitwa KAMUSI/DICTIONARY.
Tafsiri ya maneno yote hupatikana kwenye dictionary/kamusi.
Neno Dini/Religion lipo kwenye kamusi na lina maana yake.
Dictionary yako ndio inasema "Dini ni mfumo wa maisha"? Ni dictionary ya msikitini au ya wapi?
Niwekee hapa Maana ya neno DINI/RELIGION kutoka kwenye DICTIONARY/KAMUSI.
Wewe mwenyewe bila ngono usinge kuwepo shwainiUislam ni NGONO tu. Bila NGONO hakuna UISLAM.
Ni NGONO DUNIANI na PEPONI.