Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Uislam Haujawahi kuwepo kabla ya Mohamad... Uislam ulianzishwa na mohamad.

Nikikwambia Uprove kuwa Uislam ulikuwepo kabla ya Mohamad HUTAWEZA.

Kama unabisha sema SU.. Tuanze kujadili hili(na ninakuhakikishia Utakimbia mjadala)


Hawa WANAABUDU wasichokijua mkuu.

Mimi Huwa nawasikitikia sana.

Mtu unamuuliza Neno dogo tu DINI ni Nini ANASHINDWA kabisa kuelezea..

WANASIKITISHA SANA
 
Hawa WANAABUDU wasichokijua mkuu.

Mimi Huwa nawasikitikia sana.

Mtu unamuuliza Neno dogo tu DINI ni Nini ANASHINDWA kabisa kuelezea..

WANASIKITISHA SANA
Hilo swali la Dini ni nini Hawajawahi kulijibu. Halafu ni wote sasa wanalikimbiaga.

Ni wazee wa propaganda za dini yao. Ukiwa-question kidogo tu wanapoteana na kupiga chenga.
 
Hilo swali la Dini ni nini Hawajawahi kulijibu. Halafu ni wote sasa wanalikimbiaga.

Ni wazee wa propaganda za dini yao. Ukiwa-question kidogo tu wanapoteana na kupiga chenga.


NAWASIKITIKIA SANA
 
JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.


HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????


Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni


وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
 
FaizaFoxy nimekumiss!!
 
Kuoa katika uislam ni jambo jepes ndan ya dk 5 mchezo umeisha.
 
Lakini nzuri ni ipi?
Kubanwa na dini ama kuishi wewe kabla ya dini?

Mimi naona Mungu kwanza

Kama mzee wa miaka 40 bado hajaoa maana yake huyo ni mzinzi kwasababu haipo namna huwa hafanyi tendo

Kuhusu ndoa,waislamu ni bora sana
Yote yana unafuu kulingana na unavyoishi mkuu.

Ila kwenye ndoa ni kweli waislam wanalimudu haswa.

Kumkuta binti wa kiislam kavaa ushungi anashadadia 50/50 au kujiweka juu ya mumewe ni nadra sana, wana nidham sana wale watu.
 
Kama huwezi kumweza mtu negative impact za ushoga mpaka utumie vitabu vya dini basi niseme tu wewe akili yako imelala
 
Kwenye uislam ndo si issue complicated kama kwenye ukristo kuanzia sherehe, mchakato wa ndoa, idadi ya wake, kuachana na idadi ya watoto, na kadhalika ilhali kwenye uislam kuoa ni rahisi tu ndiyo maana vikao vya harusi vingi ni kwa wakristo, michango mingi ya harusi ni kwa wakristo, we hapo umepewa kadi ngapi za kuchangia harusi za kiislam? umeenda harusi ngapi kubwakubwa za kiislam? Kwa hiyo ni kawaida kukuta vijana wengi wa kikristo wanachelewa kuoa. Nakumbuka niliwahi changia harusi moja ya kiislam yaan muoaji alikuwa kama anafanya masihara vile kazini tulimchangia. Mchele mharage nyama na vikorokoro vingine bwana harusi alienda kununua mwenyewe, harusi ilifanyikia nyumbani kwao tena siku ya harusi tumefika na ni mchana huo tunamkuta tayari ashaoa yule nje kavaa vest na kaptula katulia tuli. Kingine mabinti wa kikristo wana standard zao complicated sio kama mabint wa kiislam hata mahari pia tukiachilia waislam jamii ya wazanzibar, wakomoro na wenye hela waliobakia mahari zao ni ndogo, nakumbuka kuna binti wa IGP mmoja mahari ilikuwa msaafu sasa msaafu wa kiislam ni tsh ngapi?
 
Chanzo hukijui? Fuatilia utofauti wa ndoa za kiislam na Christian uone tofauti zake ndo utaelewa ni kwanini?

Fuatilia sheria, Fuatilia utaratibu na pia mwisho fuatilia gharama.
 
Kijana wa kiislamu wa wapi mkúu????? Mbona huku nilipo wote hawajaoa????
 
Ni ngumu kumshinda mtu mwerevu kwenye majadiliano ila kamwe haiwezekani kumshinda mpumbavu kwenye majadiliano.

Wewe upo katika moja ya makundi hayo kamanda!
 
Ni ngumu kumshinda mtu mwerevu kwenye majadiliano ila kamwe haiwezekani kumshinda mpumbavu kwenye majadiliano.

Wewe upo katika moja ya makundi hayo kamanda!
Kama baba yako naye yupo katika moja wapo ya makundi hayo! Aliko baba yako nami niko huko huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…