Mimi ni muislaam, ila misimamo ya atheists kwangu Mimi siipendi bora mayahudi na wakristo....
Kwanini?
Kwasababu wayahudi na wakristo
1. Hawakatai habari ya dini ila dini yao yanayoifuata sio ya haki
2. Unaweza tumia aya nyingi sana kutoka kwenye vitabu vya wenzetu(biblia) kuwarudishia pale wanapokuwa wamepindukia mipaka mfano issue ya ushoga imeelezewa kwenye mkasa wa sodoma na gomola kwenye bible
Sasa je? Atheist utamrudisha vitu kwenye njia ilhali vitabu vyote na dini zote zishamfikia ila kwake anaamini ni ngonjera na namna ya kumteka mwanadamu na kumtawala.
Sasa watu kama huyu
Retired utamshawishi vipi na kumelimisha kuwa ushoga ni uchafu ulio wazi kwa reference ipi labda?keshakuambia modern type of life with independent decisioo not much guided by Religion??? Anavyo religion amaanisha zote sio uislaam pekee...
Kumbuka mtu ambae hayupo guided by religion tena akuambia modern type of life huyu pia hawezi kuwa guided by traditions and customs
Aya sasa utamwambia vipi LGBTQ ni uchafu ulio wazi mtu sampuli hii???
Maana ya modern type of life ni mtu afanye atakalo maadam hajavunja sheria za nchi ni kumbukeni Tanzania kwa sheria zetu si kosa mtu shoga