Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Hongereni Mkuu, huku upande wa pili Kanisa halikubali talaka kirahisi hivyo kupelekea Vijana wengi kutumia muda mrefu kujaribu kupata wenza sahihi.

Kuja kutahamaki unakuta mtu anaoa akiwa na miaka 40
Wakirisito ndoa sio hasiri yao vio ngozi wao hawaoi wataweza kufahamu umuhimu wa talaka?
 
Hiyo maana inatoka kichwani kwako. Imehakikiwa na nani? Hata mimi nina maana zangu kichwani.. wewe unaziamini maana zangu?

Mimi nataka unipe MAANA KUTOKA KWENYE KAMUSI/DICTIONARY ya lugha husika.

Najua Unaiogopa Dictionary kwa sababu itakuumbua.

Sasa Nakuuliza tena. [emoji116]
Kamusi/Dictionary inasema Dini ni Nini?
Kamusi ya kiswahili kingereza ya kiarabu?hili upate maana halisi ya neno dini lazima uzame kwenye kamusi ya kiarabu sababu hasili ya neno dini chimbuko lake kwenye lugha ya kiarabu sio kibantu na kamusi ya kiarabu ni qur,an
 
Neno Dini lipo kwenye kila lugha. Hata kiingereza lipo, linaitwa RELIGION. Msijifiche kwenye kiarabu.

Ukienda kwenye kifaransa lipo, kijerumani lipo, kiswahili pia lipo nakuendelea...
Na maana ni ileile kwenye kila lugha.

Sasa twende kazi.. Hebu tuanze na kingereza. WHAT IS RELIGION?
 
Wakirisito ndoa sio hasiri yao vio ngozi wao hawaoi wataweza kufahamu umuhimu wa talaka?
Sio madhehebu yote viongozi wao hawaoi.

Madhehebu kama KKKT, Anglican, Morevian n.k Viongozi wake wanaoa.

Ila msimamo wa Kanisa, ni kutoachana ukisha oa.

Hapa ndiyo mtihani ulipo.
 
Nakijuwa Kiarabu na Kiswshili kina asilimia kubwa sana ya Kiarabu.

Ukipenda kubali usipopenda usikubali, sikulazimishi.
Wakirito wengi hawakubali kuwa kiswahili mama yake lugha ya kiarabu nahuo ndio ukweli hata hili neno dini chimbuko lake ni kwenye qur,an mtu ambae hajui hata kidogo qur,an hawezi jua neno dini lina maana gani tena hata huko kanisani maneno mengi wanayo yatumia chimbuko lake ni kwenye qur,an

Mfano

Ibada

Swadaq

Mahari

Zaka

A,damu

Damu

Nani

Hayo ni maneno machache tu lakini maneno 100 ya kiswahili 75 yanatokana na kiarabu
 
Ni vizuri sana umetowa darsa dogo, wataokusoma wataelewa.
 
sasa kama msaafu unaweza kutolea mahali utashindwa kuoa kweli?

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Mahali ni kitu chochote hatakacho hitaji muolewaji kutoka kwa mchumba wake wa kiume kulingana na uwezo wake hiyo ndio tafusili fupi ya neno hili mahari neno hili hasili yake ni kwenye qur,an

Himefanyika hivio hili kila muoaji kwa uwezo wake aoe kama mahari hingekuwa dhahabu wachache sana ambao wengeweza kuoa

Tajiri mahari yake ya kitajiri

Masikini hivio hivio

Fukara hivio hivio

Lakini hata nyiyi wakirito mnajikuza tu huku niliko niko songea wakirito ndio wengi katika ndoa 100 wanao aoa kwa mahari ya kuanzia 1000,000, na kuendelea ni kama watu 10 tu walio wengi wanao kwa tsh 500,000, kushuka chini mpaka 200,000,
 
Hawa wavaa kobazi wa mnyazi.

Ukiwauliza DINI ni nini wanakimbia.

Akilizao nawaonea sana huruma.

Jitu limama lilima limekazana DINI DINI.
Unaliuliza DINI ni Nini linakosa majibu.
Neno dini lina maana zaidi ya 1

1 qur,an
2 mwesho wa dunia

3amani salama

4 njia ya kwenda peponi baada ya kufa

5 mfumo wa maisha

Ifahamike neno hili hasili yake kwenye qur,an vinginevyo kwenye kamusi ya kiswahili huwezi pata maana sawa sababu neno 1 la kiarabu lina maana zaidi ya 1
 
WEWE MBONA TUNAKUULIZA DINI NI NINI UNASHINDWA KUJIBU UNARUKARUKA KAMA MAHARAGE.

JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.

HUYU ANAYESEMA ATATUZAENI WAISLAMU NA KUTUPOTEZA WOTE NI NANI????

Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni

وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
Qur,an sio gazeti wewe
 
Wakirito wengi hawakubali kuwa kiswahili mama yake lugha ya kiarabu nahuo ndio ukweli hata hili neno dini chimbuko lake ni kwenye qur,an mtu ambae hajui hata kidogo qur,an hawezi jua neno dini lina maana gani tena hata huko kanisani maneno mengi wanayo yatumia chimbuko lake ni kwenye qur,an

Mfano

Ibada

Swadaq

Mahari

Zaka

A,damu

Damu

Nani

Hayo ni maneno machache tu lakini maneno 100 ya kiswahili 75 yanatokana na kiarabu
Acha blah blah.

Sema DINI NI NINI?
Kamusi inasema DINI NI NINI?

What is RELIGION?
How does the dictionary define RELIGION?

DINI NI NINI?

Hili swali mbona huwa linawapa sana shida kulijibu?
 
Kafiri ni mtu asiye na dini (Mpagani)... umemezeshwa mambo mabaya mpaka umekosa akili.
Kafiri ni mtu yoyote hanae pinga uwepo wa uisilamu hiyo ndio tafusili kwa kifupi au anae fanya ibada zilizo tofaoti na mafundisho ya mtume muhammad
 
Na milioni 3 hiyo, unakuta mwanamke mwenyewe ana mtoto wa nje.
Wakiristo kwa kujikweza hatari mbona tuko wote mitaani tunajuana vipato?wakirito wenye uwezo wa kuoa kwa m3 ni 10 kwa mia harusi zenu tunaziona kila siku tena mko na ubaguzi nyiyi kwa nyiyi mwenye kipato hanachangiwa mpaka m 50 kwa ajiri ya sherehe wakina kajamba nani wanaishia kuoa kwa laki 200,000,zaidi 500,000, kazi kujifanya kila mkiristo tajiri hovio ndio maana wachungaji wanajilia wake zenu
 
ALAFU UWE UNAFICHA UJINGA WAKO..
HAKUNA NABII AU MTUME ZAIDI YA MOHAMED KWENYE UISLAMU.

UJINGA KATIKA DINI YA MOOD.

QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125

Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.

WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU. NJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.

MOHAMED ANASISITIZA KUSOMA NA KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.

Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.

Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.

Ukiwa na akili tu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.

FICHA UJINGA HAKUNA NABII ZAIDI YA MOHAMED KWENYE UISLAMU.

NA UISLAMU AMEKUJA NAO MOOD JAPO SIZANI KAMA ALISLIMU.
Wewe mpumbafu sababu ya upumbavu wako ni kujifanya kujua qur,an hali yakuwa ujui kujadiriana na wewe ni kupoteza muda
 
Na Bi Khadija mke wa Muhammed ndio MTU wa kwanza kuwa Muislam!!
Nikweli mke wa mtume b Khadija ndie mwanamke wa 1 kumuamini nabii muhammad,je kabla ya kuzaliwa mtume uisilamu ulikuwapo au haukuwepo je mtume muhammad ndie kaanzisha ausilamu?
 
Nikweli mke wa mtume b Khadija ndie mwanamke wa 1 kumuamini nabii muhammad,je kabla ya kuzaliwa mtume uisilamu ulikuwapo au haukuwepo je mtume muhammad ndie kaanzisha ausilamu?
Kamusi ya kiswahili kingereza ya kiarabu?hili upate maana halisi ya neno dini lazima uzame kwenye kamusi ya kiarabu sababu hasili ya neno dini chimbuko lake kwenye lugha ya kiarabu sio kibantu na kamusi ya kiarabu ni qur,an
Sema binadamu wa kwanza kuwa Muislam kabla ya hapo alikua Mkatoliki huyo Mama mfanya biashara, na ndio alimuambia Mudi aji bashirie Utume.
Muhammad ndio ameuanzisha uislam ndio maana mnamkiri kwenye nguzo zenu.
Kabla ya Mudi kuzaliwa ndugu zake makureshi wale walikua mapagani pamoja na Baba yake ila madhehebu ya kikristo yalikuwepo
 
Nikweli mke wa mtume b Khadija ndie mwanamke wa 1 kumuamini nabii muhammad,je kabla ya kuzaliwa mtume uisilamu ulikuwapo au haukuwepo je mtume muhammad ndie kaanzisha ausilamu?
Uislam Haujawahi kuwepo kabla ya Mohamad... Uislam ulianzishwa na mohamad.

Nikikwambia Uprove kuwa Uislam ulikuwepo kabla ya Mohamad HUTAWEZA.

Kama unabisha sema SU.. Tuanze kujadili hili(na ninakuhakikishia Utakimbia mjadala)
 
Back
Top Bottom