Ipi hiyo mkuu?Ukiachana na hizo kuna ngoma moja aliimba na wiz khalifa naielewa sana
Inaitwa paradise kamshirikisha wiz khalifaIpi hiyo mkuu?
PoaInaitwa paradise kamshirikisha wiz khalifa
Huu ni wivu ambao kwa asilimia kubwa unachangiwa na umaskini.Brother Love kayatimba .Linajifanya kutwa kuchonga tuuchebe kumbe libazazi lilazeni kwenye ubaridi hilo.
R. Kelly walianza nae utani utani mpaka wakamla kichwa. Ngoja tuoneWameanza vibweka vyao! Ngoja tusubiri.
Your opinion doesnt matter in the US.Mara wadai jamaa ni shoga.
Anyway, kuanzia 2010 mpaka sasa watu weusi mashughuli wamekua wakishambuliwa sana na mashtaka ni ubakaji na unyanyasaji.
Cassie hataki jamaa ashtakiwe akutwe na hatia na kufungwa ila anataka dola milioni 30.
Nenda kwenye mpira, golf, uigizaji n.k kote huko watu weusi wameshtakiwa na sisemi kwamba hawana hatia maana kwa baadhi yao tumeshuhudia mpaka videos ila nafikiri uchuguzi uwe wa kina usiendeshwe na bias.
Haya nenda US kamtetee tajiri.Fala wewe.Huu ni wivu ambao kwa asilimia kubwa unachangiwa na umaskini.
Kwani huyo mtu mweusi ameshtakiwa na mzungu? Adui wa mtu mweusi ni mweusi mwenyewe.Na hivi ni mtu mweusi ndo anafungwa mwamba
Kwani huyo mtu mweusi ameshtakiwa na mzungu? Adui wa mtu mweusi ni mweusi mwenyewe.
Mmmh Cassie anatafuta attention. Alikua wapi siku zote? Si atulie na mume wake
Fear women