Cassie amfungulia mashtaka Diddy yakiwemo madai ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia

acha wapambane na yakwao sisi pia tuna ya kwetu
 
Ukishamshtaki mtu hutoichagulia mahakama adhabu na kama kosa ni jinai sio tu madai.

Maana yake Cassie amedhamiria Diddy aende korokoroni. Poor him ana watoto wadogo bado.

Hata hivyo, hawa wanawake wajifunze kuwa watu wa kwenye hii industry ya entertainment kwa ujumla most of them ni Psychos. Kuna vitu huwezi fanya ukiwa sober, lazima kuwe na busta fulani fulani ili mambo yaende. Ni bahati mbaya zaidi kwa weusi kulingana na historia zao za makuzi, mazingira,elimu etc.

They could have known it better. Kama ushahidi utapatikan mbona Watafungwa sana.
 
Miaka yote alikuwa wapi kuleta hayo madai? Kutakuwa kuna kikundi kiko nyuma yake.
Ningelikuwa ni muamuzi, ningelifutilia mbali haya madai
 
Hawa wahuni wa kitambo wataishia gerezani aisee. Kha!
Sijui mzee Bill Cosby kaishia wapi. Baada ya kuchomoa tuhuma za awali, walikuja kulianzisha tena. Mzee wa Gotham City anachezea mvua saa hii. Duh!
 
Didy ni target kwa sasa hata kama hatoshindwa kesi zake zote ila reputation yake itaharibika na pia atapoteza pesa nyingi kwenye kesi kama Michael Jackson.
Jamaa wanaenda kumpoteza kashaenda nao kinyume sasa watafukua makaburi ambayo hata hatuyajui utashangaa hizo shutuma zitakavyomuandama
 
Mmmh Cassie anatafuta attention. Alikua wapi siku zote? Si atulie na mume wake
Ukiangalia maisha ya black Americans wengi walipitia trauma na kama wametokea kwenye hoods, lazma kuna vitu vya ajabu huwa wanavifanya ambavyo hutumika baadae dhidi yao.
Ukiangalia situation nzima hutakiwi kujiuliza mara mbili kuwa Hollywood ipo after Didy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…