Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,176
- 2,479
Tukubali tu. Pamoja na wana CCM kumubatiza majina ya fedheha, Mbowe na timu yake ni miamba. Chama sasa kiko njia sawa na salama.Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.
CDM imeimarika kwa maamuzi haya.
Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Kuamia CCM inawezekana lakini kupata ubunge labda wapewe nafasi kumi alizobaki nazo Magu au ikitokea uchaguzi mdogo.Mkuu do you think hakuna means yoyote ya kufanywa na akina ndugai ili waendelee kuwa wabunge?hata kwa kuwahamishia ccm?
Tofauti zao ndio zimeifanya chadema kumudu katika nyakati ngumu zaidi.Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu
Pamoja na hilo hakuna mtu aliyepiga vita mageuzi kama Agustino Mrema wa Kiraracha na mzee wa siku saba. Kama Naibu Waziri Mkuu alitumia vyombo vya dola na hasa FFU kuwashambulia, kuwaumiza wana mageuzi hadi kuwalemaza baadhi yao. Halafu eti wapo wapuuzi wanataka kumlinganisha Mbowe na hiyo takataka.Nyongeza muhimu;
Wakati wa vikao vya vuguvugu la kudai mageuzi nyumbani kwa Marehemu Mzee Kumesera Mbowe ndio alikuwa karani wa kuandaa makabrasha kabla kuanza vikao.
Pili wengi wasichokijuwa Mbowe ndiye aliyewashawishi Zitto Kabwe, John Mnyika, Halima Mdee na Sugu kujiunga Chadema.
Simply Mbowe ni genius.
Mmemuacha ADUI yenu mnagombana wenyewe kwa wenyewe.
Wenzenu huko wanacheka tu.
Mimi nimfurahi piaNimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.
CDM imeimarika kwa maamuzi haya.
Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Adui huyo aliyeachwa ni nani/yupi?
Naona hata huna maarifa ya kutambua kuwa hao kinamama 19 automatic walishakuwa sehemu ya adui huyo na walistahili kupigwa kama maadui pia...
Wakatumiwa kama silaha ya adui huyo kuwamaliza CHADEMA. Wakatangulizwa ama wakawekwa mbele ya mstari wa mapambano...
Unfortunately kwao, wote wamechapwa risasi na kuuwawa...
Hopefully, atajitokeza adui mwenyewe sasa maana "chambo" imeliwa na kwisha kabisa bila ndoano kunasa samaki..
CCM na Magufuli wajipange upya. Hili limebuma spectacularly...
Wamekosa na wanaendelea kukosa imani (trust) ndani ya nchi na wananchi na ktk jumuiya ya kimataifa...
Tunaelewa mla nyama za watu haachi kula nyama hiyo...
Wataenda hatua inayofuata. Kina Lijualikali, Cecil Mwambe, Silinde nk Spika Ndugai alitumia kisingizio cha CHADEMA hawakufuata utaratibu kuwafutia uanachama na hivyo yeye atawatambua kuwa ni wabunge halali...
Kwa hawa atatumia kisingizio gani eti maana wameitwa kujitetea wao wenyewe wameshindwa kutumia fursa hiyo??
Yajayo yanahuzunisha sana...
Kule kwa Zitto naona mambo magumuNimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.
CDM imeimarika kwa maamuzi haya.
Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Ila Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya
Hivi ukimtazama Halima Mdee kweli mlikuwa mnaamini kuna siku anaweza kukataa viroba vya pesa kwa ajili ya itikadi ya Chama?
Mtu pekee ninaeweza kumuamini kwny hili pale Chadema ni Lazaro Nyalandu ambae alionesha kwa vitendo kuacha Ubunge bila ya kushinikizwa kwa kusimamia alichokuwa anakiamini
Katika maana ya kuwatumikia watanzania kachemka lkn kwa Maslahi binafsi kacheza kete vizuri.Ana uhakika wa kazi,Hana shida yeyote.Hapo ye Ni burudani ilimradi tu asivuliwe Ubunge.Ila akivuliwa ubunge Basi utakuwa Ni msiba mkubwa kwa Halima,na hatakaa asahau mbinu hii ya CCMMzee Mdee amechemka sana kwa tamaa zile
Mnamlaumu halima kwa lipi?
Mbona Zitto anang'aa mkuu na wakati nae alitumuliwa hivyo hivyo kwa usaliti na watu wote wanajua.
mie naamini ma ccm yatakuwa yamemloga sio bure, mdee ndiye alikuwa kamanda ngangari zaidi kwa upande wa wanawake chadema yote...tena aliwazd hata wanaume wengi tu pia.Ila Halima Mdee ni kama vile siamini alichokifanya
Ana uhakika wa kazi katika short ru.How about long run?Unaelewa kuwa kitendo alichofanya kimeharibu reputation yake?Unaelewa kuwa CCM ni wanafiki na huwa hawana rafiki wa kudumu?(refer wapinzani waliohamia CCM vile wametoswa)Ni nini hatima yake baada ya hii miaka mitano?(Kumbuka yule bado ni kijana)Katika maana ya kuwatumikia watanzania kachemka lkn kwa Maslahi binafsi kacheza kete vizuri.Ana uhakika wa kazi,Hana shida yeyote.Hapo ye Ni burudani ilimradi tu asivuliwe Ubunge.Ila akivuliwa ubunge Basi utakuwa Ni msiba mkubwa kwa Halima,na hatakaa asahau mbinu hii ya CCM
Kwa kulisahau Jina la Joyce Mukya na Catherine Ruge
Haha hata wewe hupati hasara😂😂😂kwani akiwa hivyo wewe unanufaika na nini?
Nimefurahi sanaaUlitaka wachukie ?
Wewe Mama D msimamo wako uko wapi?? Lengo lako ni kuwa chadema inafutika kabisa au unaona mheshimiwa Mbowe hana sifa ya kuwa kiongozi wa chama kwa sababu tu ni Mchaga? Maana siku hizi baada ya wasukuma kuchukua himaya tatizo la ukabila limefanya watu wengine wakose sifa za kuwa viongozi wazuri kisa wanatoka kabila fulani na baadhi ya vyama kama CHADEMA na ACT-WAZALENDO.Mbowe amekua kisiasa sasa na atakapokomaa tutacheka wote
Lyatonga Mrema alikua zaidi ya Freeman Mbowe na Freeman Mbowe atakua zaidi ya Lyatonga Mrema.
Ni swala la muda tuu