Casual observation yangu ni kuwa watu wamefurahia adhabu ya Halima na wenzake 18

Hakuna mtu wa kitu kisichobadilika duniani Mabadiliko ndio maendeleo
Muda utasema
 
Limebuma wakati mnatibuana wenyewe kwa wenyewe?
Magufuli ana hasara gani?
Halima na wenzie Wana hasara gani?

Hakuna kutibuana ndugu "Mjingawewe"...

Chama kimetenda na kutekeleza wajibu wake...

Hakuna mtibuko hapo. Waliokuwa na nia ovu kulitenda hili, huko kwao ndiko kumetibuka...!!
 
Mbowe ni mwanasiasa mzoefu na mwenye uelewa mkubwa, ipo siku atafanya maamuzi na kwa wasiomuelewa watabaki na wa kumuelewa mtamuelewa sana
 
Baba unajua kutufurahisha baba unajua kutufurahishaa................................Babaa eeeeeeeeeeeee..................................safi sana jana tumepumzika vizuri sana kwa maamuzi na Press yenye nguvu kutoka kwa Mbowe.
 
Poor analysis. Kama angekuwa furaha iwa CCM, usingeona wakihangaika kiasi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanataka mabadiliko. Ndio maana wanayatafuta kwenye upinzani. CCM inawekwa hapo na NECCM, TISS, JW na polisi. Na wanajua hivyo. Ndio maana wakaingiza kura kwenye vituo vya kura zikiwa zimepigwa tayari chini ya mtutu wa bunduki.
Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.

CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya.

Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
 
Natumaini ulikwishafika Ulaya tayari. Za Ulaya? CCM inachukiwa tayari, kama ulivyoona kwenye uchaguzi uliopita. Hata ukiweka jiwe kushinda na CCM, CCM itashindwa tu. Kikwazo kikubwa kwa upinzani ni TISS na majeshi ambayo yanaibeba CCM. Hapo ndio wapinzani inabidie wafikirie.
 
Nimepitia social media zote casually, 98% wanamsifu Mbowe na Kamati Kuu kwa maamuzi waliyoyachukua.

CHADEMA imeimarika kwa maamuzi haya.

Zitto, mtihani sasa umerudi kwako, Mbowe kamaliza!
Ni kweli Mkuu, CHADEMA inakubalika mitandoni tu. Huku field ambao watu halisi ndio wapo hakuna kitu, zero kabisa. Mbwembwe tunaziona JF na Twitter na kwenye matamko ya kufukuza watu.

Siasa za Upinzani wa Nchi hii bure kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…