Pre GE2025 Catherine Magige: Luhaga Mpina ni mtu wa ovyo ambaye haamini uongozi wa mwanamke

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu;

Nakuunga mkono, upo sahihi. Luhaga Mpina hajawahi kumpinga au kumkosoa Rais Samia wala kumkosoa kwa sababu ya jinsia yake.

Mpina amekuwa akikosoa mwenendo wa serikali na watumishi wake katika matumizi na kusimamia fedha za umma!

CCM kwa asili haipendi ukosoaji! Kwao inauma, hasa ukosoaji ukiwa unatoka kwa mwenzao! Magige anawakilisha hisia za wengi ndani ya CCM.

Hii ni dalili ya kuanza kufikia mwisho wa kutumia akili na uvumilivu. Hatua inayofuata kwa Mpina ni Kolimba style! Mpina kawashiwa taa, akae chonjo!!!
 
🎖️🏆👑🙏
 
Na Mwanaume akakubali kuibiwa? Ahahahahhahahahah
 
Watapigana vipapai wafe wote hawa mbwa wa kijani na laana za mababu, mizimu,watanzania ziwe juu ya CCM hata mwanzo na mwisho wa Dahari
Amen[emoji120][emoji57][emoji57]
Amen na daima Mungu huwa karibu sana na wenye kilio kama sisi.
 
Mimi sipingi uhuru wa mtu yeyote kutoa maoni au kukosoa, ila unapokuwa ni mwanachama wa chama cha siasa halafu mmbunge partly uhuru huo unapoteza. Unabakia kukosoa bungeni, kupeleka malalamiko kwa njia za chama au barua kwa waziri na kuna limitations kwenye yale unayoongea hadharani hasa nje ya bunge.

Vinginevyo hakuna chama duniani kitamuacha mwanachama anaekidhoofisha hadharani kila siku kwa kuipaka matope serikali inayoongoza, huo ni utovu wa nidhamu.

Uwezi utaratibu huo toka kwenye chama husika kwanza, halafu watwange usiku kucha, vinginevyo kubaki ndani ya chama na kufanya hivyo ni makosa. Halafu yeye hajui hii ni siku ya sherehe au nini popote anapopata platform anaichana serikali. Kuinanga serikali siku ya sherehe za mapinduzi ni sawa na kupewa kipaza sauti kwenye harusi au birthday ya family na kuanza kuongelea migogoro ya familia sio mahala pake kabisa hapo.

Ata anapokuwa mahala sahihi hoja zake nyingi data zake zinauwalakini mkubwa wa wazi, mimi nitakuwa mtu wa mwisho kumponda mtu yeyote anaesema ukweli kwenye kukosoa, ila sio Mpina huyu ni ropo-ropo tu.

Mfano anadai report ya taasisi ya kuangalia maswala ya matendo ya ugaidi imebaini kuna miamala ya zaidi ya tsh trillion 280, wakati bank zote za Tanzania ukichanganya capital reserves zao (hela za wateja, retained earnings and shareholders capital) sidhani kama zinafika hata trillion 60. Sasa hiyo miamala inatoka wapi na hizo hela zinahifadhiwa wapi.

Anadai report ya CAG imeonyesha ubadhirifu wa tsh 30 trillion wakati budget ilikuwa 42 trillion 2021/22 maana yake 71.5% ya hela za budget ilitafunwa serikali ingefanya shughuli gani kama huo ndio ukweli. Mind you hiyo budget yenyewe huwa ni way overestimated kila mwaka shortfall (variance) ni karibu tsh 5 to 10 trillion ina maana ki uhalisia basi karibu makusanyo yote ya serikali watu walitia kibindoni kama ufisadi ni 30 trillion.

Huko bungeni ndio kabisa kila siku anatunga mambo akifafanuliwa ataki kuelewa maelezo yeye ang’ang’ana na mtazamo wake ata kama potofu.

Ndio atukatai utendaji wa serikali hii umepwaya sana na ubadhirifu ni tatizo, ila awe realistic kwenye ukosoaji sio anaongea vitu ambavyo havi make sense kabisa.

Hata huyo Catherine nae anatakiwa kupewa onyo la kumu-attack mmbunge mwenzake hadharani hana mamlaka hayo, zaidi ya taratibu za ndani ya chama au mawaziri husika kumjibu kama alivyofanya Dr. Molel ila sio yeye.
 
Mkuu usisahau Mwendazake Alisha wahi kutudokezea kuwa huyo ni mwendawazimu mwenzie.

Ukiona kafiatuka ujue ama hajatibiwa, au kasahau dawa, kama ilivyo kuwa kwa Mwendazake!
 
Mkuu usisahau Mwendazake Alisha wahi kutudokezea kuwa huyo ni mwendawazimu mwenzie.

Ukiona kafiatuka ujue ama hajatibiwa, au kasahau dawa, kama ilivyo kuwa kwa Mwendazake!
Genius Magufuli kawa chizi tena we nae kumbe hamnazo.

Huyu Mpina ndio anashida sio bure.
 
Genius Magufuli kawa chizi tena we nae kumbe hamnazo.

Huyu Mpina ndio anashida sio bure.
Mkuu Mwendazake mwenyewe alisemaga kuwa yeye ni kichaa na Antony Dialo rafiki yake alisemaga kuwa Mwendazake kweli alikuwa na cheti cha mirembe!
 
Mkuu nimekuelewa sana sana, kama jamaa huwa ana exaggerate mambo hilo ni tatizo, especially kama numbers anazosema hazi tally na uhalisia, kusema ukweli huwa simsikilizi sana huyo jamaa ila narrative nzima ya wistleblowing ndio nipo concerned nayo sababu ndio inafungua watu macho, I am very sorry kama upande wa pili hivi vitu vikisikika kwa watu vinakuwa na demage kwenye reputation zao but then what if everybody stays quiet and there is blunder, who will be accountable ? I think somewhere in our constitution kuna weakness inayopelekea accountability kuwa tatizo kwenye mfumo mzima wa uongozi, mfano, mtu anaharibu Mwanza anapelekwa Mbeya, akiharibu mbeya anapelekwa mpanda, sasa mtu hakuwa competent mwanza unamwamisha kumpeleka mbeya kwa position ile ile iliyomshinda mwanza unadhani ata perform ? Me huwa nna msemo wangu naupenda “sometimes things happen but somethings should never happen” . Lastly kinachowafanya watu waamini hivi vitu ni mambo yanayofanywa na Serikali ya ccm sometimes yanafikirisha sana, mfano bwana Paulo pamoja na upumbavu wake wote ule amerudije pale ? Kwa faida ya yetu sisi wananchi au watawala ? Angalia hizi stupid stunts anazofanya how comes man ? Aisee there is a long way to go.
 
Huyo Mpina si ndiyo alivaa t-shirt imeanikwa "Samia Love"

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo.

Noma sana.
 
Ndio tulipo hapo tunazunguka in circles na changamoto hizo kwa miaka 60.

Na watu hawataki kubadilika huko serikalini kwa sababu mfumo huo unamanufaa kwa wenye nafasi.

Hakuna kazi ngumu duniani kama kuwabadili watu tabia, ofisi ya watu watano tu ukiwabadilishia utaratibu wa kufanya mambo kati yao majority awawezi kubali kirahisi huo utaratibu mpya if it were up to them.

Imagine ujaribu kubadili tabia za watu millioni mbili sijui tatu walioajiriwa serikalini, bado kuna kundi la scrupulously businessman unakuta jitu linaenda kukopa bank badala ya kufanya uzalishaji wa resources lenyewe linataka kuuza huduma serikalini tu ukifuta huo utaritibu alitaki kuelewa linaona ni haki yake kuilangua serikali, unakuta jingine limezoea kukwepa kodi ukilidai kisheria linalia limeporwa.

Worst a majority of poorly prepared civil servants at ministries and local government na hawa ndio watu wanaoendesha serikali kila siku.

Matatizo ni luluki na uongozi uliopo is not concerned with changes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…