[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiamini maneno ya mwanasiasa hata siku moja.
Ngoja apate uteuzi kama ule wa Katambi siku zile ndio utajua rangi yake!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndoano ya Edo inawaumiza chandimu! Hawaezi kuacha hizo ruzuku, hapa wanamzuga tu lissu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yule Husna anastahili ubunge kwa kweli!
Hapo Mbowe amemtendea haki kabisa kwa kumteua!
Ni mrembo?Kwanini mkamtoa jela juzi haraka haraka kwa amri ya DPP? kumbe mlikuwa na mpango nae.
Mawazo yake yaheshimiweCatherine Ruge eti kasema kakataa uteuzi viti maalum eti hatasaliti Chadema utafikiri Chadema ni chama chake alichoanzisha yeye
Kakikuta na atakiacha chadema Lina wenyewe kakigeuza kama dini yake!!!
Wenye chama chao haooooo wako bungeni akae na ujinga wake
Anakuwa mfia chama kisicho mali yake
Ni kwa kikosa hiyo mafasi, ndo kaandika hivyo,Ameandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Bado nyumbu mkuuMtu akitambua hili afrika utaishi kwa raha sana
WANUNUAJI je?!Mna lichama la hovyo sana! Viongozi wenu wote wananunulika...
Hapa naona unazungumzia wafadhili mara misaada..fanya kazi ww acha kuwaza kufadhiliwa fadhiliwa utapangiwa mpaka siku ya kulala na mkeo...wale ni wanachama na wanakadi halali sasa kama walichaguliww waache?? Kumbuka esther matiko ni mke wa mgombea mwenza je na yeye hajui kua mkewe anaenda kuapa?? Mpaka watu wanashona sare unadhani ilikua ghafla kama kichomi?? Toa upuuzi wako hapa au kwakua mkeo hayumo?? Nyau weTumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Kama pangekuwa na mazingira fair kwenye uchaguzi nafasi ya Lissu kushinda ilikuwa kubwa sana, asieona nguvu ya kura feki ilivyowabeba CCM ni kipofu wa macho na akili.
Catherine Ruge mwanzo jina lake lilikuwepo, watakuwa waliujua msimamo wake mapema ndio maana wakaliondoa jina lake kuogopa wasijeonekana ni walaghai.
One important thing to know about politics before you stress yourself
"IN ANY POLITICAL EQUATION THERE IS ALWAYS SOMEONE BEING USED, IF YOU CAN'T FIND ONE THEN ITS YOU" By mbobezi mmoja wa siasa
wakiendelea na ubunge watakuwa wa chama gani
Salaam ndg mwananchi mwenzetu na mwanachama wa ChademaTumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.
Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.
Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.
Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.
Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.
CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia
Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.
Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.
Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.
Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Kwa hiyo kwako wewe kila kitu ni kuwa wabunge tu? Unaamini kabisa kuwa na wabunge waliowekwa na chama tawala ndio kutafanya wananchi na ulimwengu uamini kuwa ni Bunge la vyama vingi? Hawa wakifukuzwa na chama chao watakosa legitimacy na wataonekana mbele ya jamii kuwa ni puppets. Mbaya zaidi mchango wao mkubwa waliotoa katika siasa za upinzani zitaingia walakini. Kwa mwana siasa mahiri legacy yake ni muhimu kuliko cheo au mshahara.Mnajichosha bure na ujinga wenu....hasira zenu ziwanyime watu chakula? Maisha mafupi haya na kila mtu ana ya kwake tusipangiane. Mnaohangaika wengi ni wale washabiki maandazi msioijua CHADEMA ila mihemko tu inawatesa. Hata wakifukuzwa hao wataendelea na ubunge trust me
Chama kiwafukuze, wamwachie Ndugai na CCM wawang'ang'anie ndio wazidi kuongeza chuki kwa wananchi!Umesahau yale ya bunge lililopita? Kuna wabunge wa CDM walihama chama, wakajitoa CDM na wakapoteza ubunge kwa mujibu wa sheria, Ndu-gayi akawabakiza mjengoni na wakaendelea na ubunge kwa "sheria" yake
kwani chama ni mama yake?Ameandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
1. Catherine RugeAmeandika hivi kupitia twitter:
Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Wabunge wa mahakama. Wakitimuliwa wanaenda mahakamani kupinga then wanaendelea na ubunge wao. Zitto alishawahi fanya hii alipotimuliwa chadema