Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Uchaguzi 2020 Catherine Ruge: Kwa mateso haya niliyoyapata, siwezi kusaliti chama changu na Wananchi wangu wa Serengeti walioniamini

Catherine Ruge eti kasema kakataa uteuzi viti maalum eti hatasaliti Chadema utafikiri Chadema ni chama chake alichoanzisha yeye

Kakikuta na atakiacha chadema Lina wenyewe kakigeuza kama dini yake!!!

Wenye chama chao haooooo wako bungeni akae na ujinga wake

Anakuwa mfia chama kisicho mali yake
Mawazo yake yaheshimiwe
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
Ni kwa kikosa hiyo mafasi, ndo kaandika hivyo,
Sasa asubili miaka mitano aone yeye anapauka wenzake wanapendeza kisha wanakutana wakiwa sawa kwenye chama.
 
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.

Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.

Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.

Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.

CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia

Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.

Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.

Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.

Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Hapa naona unazungumzia wafadhili mara misaada..fanya kazi ww acha kuwaza kufadhiliwa fadhiliwa utapangiwa mpaka siku ya kulala na mkeo...wale ni wanachama na wanakadi halali sasa kama walichaguliww waache?? Kumbuka esther matiko ni mke wa mgombea mwenza je na yeye hajui kua mkewe anaenda kuapa?? Mpaka watu wanashona sare unadhani ilikua ghafla kama kichomi?? Toa upuuzi wako hapa au kwakua mkeo hayumo?? Nyau we
 
Kama pangekuwa na mazingira fair kwenye uchaguzi nafasi ya Lissu kushinda ilikuwa kubwa sana, asieona nguvu ya kura feki ilivyowabeba CCM ni kipofu wa macho na akili.

Catherine Ruge mwanzo jina lake lilikuwepo, watakuwa waliujua msimamo wake mapema ndio maana wakaliondoa jina lake kuogopa wasijeonekana ni walaghai.

Mkuu hata Lissu hawezi Amini ulichoandika. Tena unaota mchana. Lissu asingeweza pata hata kula Mill 3.
 
Prof Kabudi juzi aliwaambia kuwa Tanzania 🇹🇿 haijawahi kushindwa vita, iwe ya ndani au nje.Watu walimtukana sana humu jf na mitandao.Huyo ni Profesa anajua anachozungumza.Sasa kaeni kimya yajayo ni neema.Catherine ajiandae kuanzisha kampuni ya biashara JPM anataka kutengeneza mabilionea anaweza kwenda line ile
 
wakiendelea na ubunge watakuwa wa chama gani
Tumevuka vikwazo vingi na hiki tutavuka tu.

Wasaliti wa jana wakifukuzwa, CHADEMA itapata heshima na CCM iliyosema wapinzani wanachelewesha maendeleo sio tu haitaeleweka, bali itadharaulika na kupuuzwa na wananchi kwa kuwapokea hao mamluki/wasaliti waliofukuzwa.

Ninahakika pia hatua ya jana itafanya Wahisani waone kuna upuuzi unaendelea na hivyo msitarajie watatoa fedha zao hata zile kamati za Bunge za fedha zitaongozwa na hawa wapinzani uchwara.

Hatua ya jana ya wabunge feki wa upinzani kuaapa na kuingia Bungeni imezidi kuiweka nchi yetu katika wakati mgumu zaidi mbele ya wahisani wanaoamini katika demokrasia ya vyama vingi.

Kila mwenye akili anajua huu ni mchezo machafu na matokeo yake Bunge na CCM vitazidi kupuuzwa na hasa iwapo viongozi wa CHADEMA watajitokeza hadharani kufafanua kilichotokea na zaidi kamati kuu ya CHADEMA ikiwafukza.

CCM imeshindwa ku-deliver na wanaona wamebakiwa na option moja tu ya kuvuruga na kuharibu upinzani ili waendelee kubaki madarakani jambo ambalo kamwe halitawasaidia

Upinzani ni matokeo ya CCM kushindwa ku-deliver na kwakuwa kila siku ni afadhali ya jana, CCM itaendelea tu kukataliwa na wananchi na wananchi wataendelea na kiua ya kutaka mabadiloko.Watafanikiwa CCM katika hizi hujuma zao ni sana sana kuchelewesha mabadiliko na kamwe si vinginevyo.

Pia,kuna uwezekano mkubwa wa wananchi kupuuza siasa na wanasiasa wa nchi hii bila kujali vyama wanavyotoka ila wakawa na imani na wanasiasa wachache sana wa upinzani wataosimama imara.

Wananchi watasahau na kupoona majeraha ya hizi siasa chafu, ila kamwe hawawezi pona majera na machungu yatokanayo na CCM kushindwa ku-deliver.

Mwisho, jambo hili limemuongezea Kigogo wafuasi na credit na sasa ana fursa nzuri zaidi kui-attack CCM na Magu mitandaoni na watu wengi zaidi wakamuamini.
Salaam ndg mwananchi mwenzetu na mwanachama wa Chadema

Chadema ni chama kikubwa kabisa hapa nchini lakini kiukweli kuna vitu vinatokea ama kufanywa na wanachama ama viongozi wake vya kustaajabisha kiasi,,Chama kinakosa utulivu wa kutosha kwenye vipindi vigumu na wanachama mnatoa presha kubwa kiasi ambacho nafikiri maamuzi ya chama yanategemea mitandaoni watu wao wanaelekea mlengo upi..ni dhahiri hakuna kinachoeleweka kwa jamii kwa tukio la jana! Mdee anamshukuru Mwkti wakati KM hawatambui...ni kweli chama kinakosa namna ya kudeal na Jambo la naman hii kiasi linachanganya jamii namna hii??

Wazee huwasikii tena na mliwabeza kiasi fulani na wakatulia,,Prof Baregu na Prof Safari mlikosea pakubwa sana kuwaona hawafai...

Chama kuongozwa kwa mitazamo ya wanamitandao ni sawa lakini lazima kiwe na uwezo wake binasfi,,inatia aibu!
Dr mkasema msaliti,,Zitto msaliti,,Lwakatare na wenzake wasaliti,,leo Mdee,,Matiko,,Bulaya wasaliti,,,
Publicly figures wamebaki Lissu,,Mbowe,Mnyika,Sugu,Lema,Pro J, na Heche. Mnaiaminishaje jamii ya watanzania!

Wakumbukeni wazee wenu wa chama kwa ushauri msiwapuuze naamin Wana mchango mzuri kwa chama.
 
Mnajichosha bure na ujinga wenu....hasira zenu ziwanyime watu chakula? Maisha mafupi haya na kila mtu ana ya kwake tusipangiane. Mnaohangaika wengi ni wale washabiki maandazi msioijua CHADEMA ila mihemko tu inawatesa. Hata wakifukuzwa hao wataendelea na ubunge trust me
Kwa hiyo kwako wewe kila kitu ni kuwa wabunge tu? Unaamini kabisa kuwa na wabunge waliowekwa na chama tawala ndio kutafanya wananchi na ulimwengu uamini kuwa ni Bunge la vyama vingi? Hawa wakifukuzwa na chama chao watakosa legitimacy na wataonekana mbele ya jamii kuwa ni puppets. Mbaya zaidi mchango wao mkubwa waliotoa katika siasa za upinzani zitaingia walakini. Kwa mwana siasa mahiri legacy yake ni muhimu kuliko cheo au mshahara.

Amandla...
 
Umesahau yale ya bunge lililopita? Kuna wabunge wa CDM walihama chama, wakajitoa CDM na wakapoteza ubunge kwa mujibu wa sheria, Ndu-gayi akawabakiza mjengoni na wakaendelea na ubunge kwa "sheria" yake
Chama kiwafukuze, wamwachie Ndugai na CCM wawang'ang'anie ndio wazidi kuongeza chuki kwa wananchi!
 
Hao wakiendelea na ubunge nyinyi mtashindwa kufanya siasa? mbona hamjiamini au kwa sababu hamjachaguliwa mnataka kila mmoja akose.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
kwani chama ni mama yake?
atakufa masikini we muache tu.
 
Ameandika hivi kupitia twitter:

Kwa Mateso na Maumivu haya niliyopitia Siwezi kusaliti chama Changu na Wananchi wa Serengeti walioniamini na Kunipa Heshima Kubwa Kama Msubhati wao.
1. Catherine Ruge
2. Susan Kiwanga
3. Upendo Peneza
4. Devotha Minja
5. Yosepha Komba
6. Hilda Newton
7. Husna Said, yule binti wa Chato
8......

Bado kuna wapiganaji Bawacha. Msihukumu wanawake wote wa Chadema kwa matendo ya wachache.

Kuvunjika kwa koleo....

Amandla...
 
Back
Top Bottom