Na wewe umewahi kumuona mke au mtoto wa Nyerere kawekwa rumande au kupewa kesi ya uchochezi kama Nyerere wakati wa kupigania uhuru?jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako.
una dalili zote za umasikini wa akili na pesa , pole sana , mpaji ni Mungujiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako.
Bi Mkora mpuuzi sana mpaka watu wanafika mahali wanaomba naye adondoke!Huyu bibi gaidi lazima akimbie nchi
Kunakaribia kucha. Katiba mpya naiona mbele yangu. Yanayotokea ni ishara kamili ya ujio wake. Hongera wapigania haki wote.Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha yanaenda kasi sana
Nikiangalia yale 'Mafuriko' ya jana na leo kisutu nalinganisha na matukio kama haya 2015 naamini kweli Watanzania wamechoka kweli kweli
Vipi mkuu uko site?Hivi ni kweli akili zenu ziko likizo au huwa mnalazimishwa kuzipeleka likizo?
Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Dr Slaa alitumia nguvu ya hoja .Hakugombana na vyombo vya dola Wala Nini .Ndie kinara na mwasisi wa hoja ya kupambana na mafisadi iliyokijengea heshima kubwa Chadema ikaweza kupata wafuasi wengi ikiwemo wa CCMNa hawa hawa ndio leo wanadharau nguvu ya Dr Slaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaonaje mama anavyofungua nchi na kuwakokesha mataga ka sukuma gang?Natangaza rasmi kulifuta hili mama! Linabaki kurembua utafikri limewekewa! Pambaff kabisa!
Na hawa hawa ndio leo wanadharau nguvu ya Dr Slaa.
Police wana maisha duni sana na wanatumikishwa km mbwa koko na ccmHawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama anawakomesha mataga na sukuma gang!Kutetea CCM inabidi uwe na akili ya maiti.
CCM wameamua kutawala kijeshi. Tuendako I think very soon Samia atapachikwa cheo cha Field Marshall (kama Idi Amin) na ataanza kupiga magwanda ya mabakamabaka.Hawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi...
Zipi nini mkuu?Zipi hizo?
Amandla...
Hoja ipi ya kupambana na mafisadi? Unadhani kuna mtu ana ubavu wa kugombana na vyombo vya dola? Tuonyeshe humu lini Chadema wameshambulia kwa vitendo? Lini wamevamia vituo vya polisi? Lini wamewaweka ndani wawakilishi wa vyombo vya dola? Ugomvi huo unaozungumzia ni wa upande mmoja. Hao unaowataka watumie hoja ndio hao wanaoshinda mitandaoni kuelezea misimamo yao badala ya kubeba silaha kulazimisha watu wawaunge mkono. Na mbaya zaidi sasa hamtaki hata kuwapa nafasi ya kusimamama hadharani kuwaelezea wananchi kuhusu sera zao. Sio tu hadharani, hawaruhusiwi hata kukutana wenyewe kuzugumzia maswala yao.Dr Slaa alitumia nguvu ya hoja .Hakugombana na vyombo vya dola Wala Nini .Ndie kinara na mwasisi wa hoja ya kupambana na mafisadi iliyokijengea heshima kubwa Chadema ikaweza kupata wafuasi wengi ikiwemo wa CCM
Hawa wa sasa hoja za kuvutia wananchi hawana Ni Shari tu