nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Duh! mkuu ukimdharau wewe haina maana wote tutashindwa kukumbuka mchango wake...Wadanganye wajinga , sasa Dr Slaa si yuko ccm , kwanini ccm inazidi kutegemea polisi ?
View attachment 1882667
Hawajachoka ila ni waoga sana na hali kiuchumi ni mbaya!!!!Maisha yanaenda kasi sana
Nikiangalia yale 'Mafuriko' ya jana na leo kisutu nalinganisha na matukio kama haya 2015 naamini kweli Watanzania wamechoka kweli kweli
Kuhusu wabunge sitoliongelea maana baada ya hapo wengi waliongezeka kutokana na umaalufu wa mzee lowassa,Jaribu tuu Mkuu. Unaweza kuanza na ilikuwa na wabunge wangapi. Hoja walizoibua bungeni n.k.
Amandla...
Nikiwa dar leo mzee mmoja KWa asira nikasikia ANASEMAYaani Kuna watu wanamambo ya kisechu sana!
ili uwe mwana CCM,ni lazima uwe na laana Kwanza ndo mambo mengine yanafuataHawa wamekamatwa leo Katika viunga vya Mahakama ya Kisutu walipofika kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chama chao , aliyeshitakiwa kwa kesi za uongo ili kumkomoa kutokana na kupigania haki nchini Tanzania, ikiwemo Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Na wewe umewahi kumuona mke au mtoto wa Nyerere kawekwa rumande au kupewa kesi ya uchochezi kama Nyerere wakati wa kupigania uhuru?
Kawawa?
Karume? N.k...
Be smart ata kama hauna akili na elimu.
Duu jibu zuri Sana kwa huyo kilaza.Na wewe umewahi kumuona mke au mtoto wa Nyerere kawekwa rumande au kupewa kesi ya uchochezi kama Nyerere wakati wa kupigania uhuru?
Kawawa?
Karume? N.k...
Be smart ata kama hauna akili na elimu.
Ngoja niingie chimbo kutafiti.Nikiwa dar leo mzee mmoja KWa asira nikasikia ANASEMA
Hawa Police , ni lazima kuwatafutia wakina OTANGO OSALE, watano kila Mkoa , watanyooka maana wanakaa mtaani, huku wanajidai na mabunduki yao, akaongeza hata Uhuru wa Tanganyika haukuja kiraisi, bali kila kundi KWa uwezo wake lilitumia NJIA walioweza, Mara mzee akaondoka zake
Mpaka mda huu najiuliza
OTANGO OSALE ni watu wa aina ipi? Sifa zao ni zipo? Je tz wakina OTANGO OSALE wapo ? Kama wapo wanapatikana wapi, na Kama hawapo mzee atawatafuta wapi?
Je wakina OTANGO OSALE ni watu wenye nguvu Sana Kwamba watano tu kila Mkoa watawakomesha police? Na je kwenye Uhuru walishiriki ? Kama walishiriki ,walitumia NJIA zipo?
Tafadhali mwenye majibu ya kina, maana huyu Mzee kaniacha na maswali , na sijui Kama nitakuja kutana nae tena,
Uliwahi kumsikia mke wa Nyerere akifanya harakati ?! Au uliwahi kusikia kina Makongoro hata Madaraka kwenye harakati hizo ?jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako.
nimewahi kumsikia mke wa katibu mkuu wa zamani Dr. Slaa, Mama shujaa mama Mushumbuzi lkn leo hii huwezi kumuona mke wa Mbowe kwenye mtiti wala mke wa mnyika wala mke wa John Mrema wala mke wa kiongozi yeyote lkn unakuta wake za watu wengine wanaishi kula viboko na kulala sero!!Uliwahi kumsikia mke wa Nyerere akifanya harakati ?! Au uliwahi kusikia kina Makongoro hata Madaraka kwenye harakati hizo ?
Siyo kwa sababu family ya Mbowe haifanyi harakati basi wenye ufahamu huu waache .
Wapo wa aina hiyo akina Winnie Mandela' na hata Sophia Kawawa . Hao wamezaliwa na hobbies hizo . Siyo kila moja .nimewahi kumsikia mke wa katibu mkuu wa zamani Dr. Slaa, Mama shujaa mama Mushumbuzi lkn leo hii huwezi kumuona mke wa Mbowe kwenye mtiti wala mke wa mnyika wala mke wa John Mrema wala mke wa kiongozi yeyote lkn unakuta wake za watu wengine wanaishi kula viboko na kulala sero!!
shituka achana na upuuzi huu.
Nahisi kuwa hiyo nguvu ya hoja unayotamani kuizungumzia haikuwepo maana unaitafuta kwa muda mrefu sasa.Kuhusu wabunge sitoliongelea maana baada ya hapo wengi waliongezeka kutokana na umaalufu wa mzee lowassa,
Natamani kuzungumzia nguvu ya hoja iliyokuwepo kipindi kile ukilinganisha na sasa...
The only place where proffesors can met standard seven in the same table is JF...!!Hivi hawa porice kazi yao rasmi no IPI? Ifike kipindi hawa porice tuwatie adabu maana. hajasomea hivo wanavyo Fanya Leo na mim mtoto wangu siwezi kumpeleka porice akasome never
ππππππππNitakufa kwa heshima watu watasikitika lakini siyo kushangilia kifo changu
Ushahidi wa uongo. Nani atawazuia walete tu huo ushahidi . Nchi ya kubambika vyesi kwa wananchi wake !! Aibu sanajidanganye, hii ngoma nzito sana.
Jamuhuri imeamua, haifanyi majaribio.tusubiri yatakayo jiri mahakamani
Dunia itashuhudia kuwa Mbowe hakubambikiwa wala hakuonewa, uovu wote utawekwa hadharani.
naamini Jamuhuri imejipanga vilivyo.