Pre GE2025 Catherine Ruge: Rais Samia anahofia mageuzi yataiondoa CCM Madarakani

Pre GE2025 Catherine Ruge: Rais Samia anahofia mageuzi yataiondoa CCM Madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
HOFU YA GEN-Z YAWAKUMBA WATAWALA AFRICA
Wachambuzi wa siasa wanasema mengi yamebadilika tangu vijana wa Kenya waanze maandamano ya kupinga utawala mbaya na ufisadi.

wanasiasa sasa kote Africa wanajitahidi kuanza kukubali utawala bora sasa na wa haki kwa kasi kubwa kuliko kwa hofu ya nchi zao kukumbwa na wimbi la vijana wa GEN-Z walioamua kuchukua hatima ya maisha yao mikononi mwao badala ya kusubiri hisani kutoka kwa watawala wa kizazi kilichopita wasiojua mahitaji ya vijana ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=YioScPOa4LA

SHITHOLE COUNTRIES ARE NOT FOR COPYING! ... LET THEM BURN WHILE WE BASK IN THE HEAT!
😅 NB: ... IF YOU WANT THAT SHIT, JUST GO TO KENYA FOR IT!
 

Livingstone Lusinde ameweka hadharani vitu anavyofanya Nape Nnauye na CCM yake , unaweza kuona ushahidi huu wa Lusinde jinsi chama dola kongwe CCM inavyofanya mambo yake ndani ya CCM na nje kwa kupindua matokeo ya kura za vyama vya upinzani
 
23 Julai 2024

Ni kuhusu mbinu 10 za watawala kudhoofisha upinzani kuelekea 2024 / 2025 zaanikwa kwa kina:

Mikakati ya watawala imejikita katika yafuatayo :
  1. Uwongo / disinformation /propaganda dhidi ya wapinzani .....
  2. Kuunga unga juhudi kwa kununuliwa wanasiasa wa upinzani ..... wanapewa vyeo, fedha n.k
  3. Vitisho vya wazi kutekana, kuuana, kesi za mchongo ... kwa kutumia vyombo vya Dola..
  4. Kuumizana kiuchumi, kimapato, kuwafilisi n.k wapinzani kwa watawala kutumia vyombo ya serikali
  5. Kuchokema watu ktk vyama vya upinzani ili wauze siri kwa watawala ...
  6. Vita vya kisaikolojia ...
  7. Mashambulizi ya kimtandao .... usalama wa taifa wametandaa kila mahala kusambaza taarifa feki, kuingilia akaunti za wapinzani n.k...... ....
  8. Kutengeneza au kuanzisha taasisi kinzani .... .. ...
  9. Kujenga mazingira ya ufa kati vya viongozi na viongozi ... ufa kati ya viongozi na wanachama ...
  10. N.k
Sasa hivi unayaona yote ya watawala katika pointi hizo hapo juu.

Upinzani hamhitaji kwenda Cuba kuyafahamu haya hapo juu, mnayaona
Source : Sk media online
 
23 Julai 2024
Katibu mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa CHADEMA Taifa kamanda Twaha Mwaipaya

Mfungwa wa kisiasa aliyewekwa jela kwa kesi ya mchongo kwa siku zaidi ya 100 kamanda Twaha Mwaipaya anaendelea kutoa elimu ya uraia ....

Kaya 17,000 zimeathirika bila kujali kama wewe ni mwanachama wa chama tawala au upinzani wote wanaisoma mambo kutokana na sera mbovu za CCM, mifano ....
 
26 Julai 2024
Dar es Salaam, Tanzania

Kamanda Tundu Lissu arejea leo Tanzania kuongoza mapambano :
 

Tunduma, Tanzania​

MKUTANO WA CHADEMA TUNDUMA JULAI 27,2024 WAJA NA MKAKATI MPYA


BAWACHA Tunduma wajitokeza kuhamashisha wananchi ni jeshi kubwa na wajitokeze kwa wingi.

BAWACHA wasema 2024 / 2025 hakuna kuonewa kama 2019 / 2020 tupige kelele hakuna kupita bila kupingwa, viongozi lazima wachaguliwe na raia katika uchaguzi huru 2024 / 2025 na si vinginevyo ...
 
29 Julai 2024
Nkasi ya Kaskazini
Rukwa
Tanzania

Vumbi La wananchi wa Nkasi yapeleka hofu kuu CCM, dalili dhahiri chama kongwe dola kimefutika mioyoni mwa wananchi

MAPOKEZI MAKUBWA KWA VIONGOZI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA KTK JIMBO LA NKASI KASKAZINI KATA YA KABWE

View: https://m.youtube.com/watch?v=AFCiegvw9g4
Hakika wananchi wa Rukwa wameamua sasa basi kukichagua chama dola kongwe CCM, wananchi waapa huu 2024 / 2025 ni mwendo wa kuichagua CHADEMA na kukizika chama dola ....

Umati mkubwa wa wananchi katika vijiji vya kata ya Kabwe wamejitokeza kwa hamasa kubwa kuonesha kushoshwa kwao na maisha magumu, kukandamizwa wafuja jasho ambao nib wavuvi na wakulima kutokana na sera mbaya za CCM zinazokinzana na hamu ya wananchi kupata maendeleo na ushirikishwaji kidemokrasia kupata viongozi wanaowataka ili vipaumbele vya wananchi vikasikilizwa ....
 
BAWACHA
Baraza la wanawake Jimbo la Mbagala wakiwa kwenye kongamano Mgeni Rasmi Mwenyekiti BAWACHA Taifa Mhe kamanda Sharifa Suleimani lengo ikiwa ni kuhamasisha wanawake kujitokea kugombea nafasi mbalimbali za maamuzi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji na uchaguzi mkuu 2025

View: https://m.youtube.com/watch?v=WVRy8nV5L_E
 
16 Agosti 2024
Tarime, Tanzania

CHADEMA Tarime mjini wajipanga kuelekea 2024 / 2025


View: https://m.youtube.com/watch?v=nBJLrkdFsCc

pia walaani polisi kutumika kule Mbeya wakati wa Siku ya Vijana Duniani ambapo kongamano la CHADEMA likizuiwa na vyombo vya dola kwa amri ya chama dola kongwe CCM ...
 

CCM WAOGA, INASIKITISHA SANA UNYANYASAJI WA WANAWAKE " MWENYEKITI CHADEMA


View: https://m.youtube.com/watch?v=wlU2xmDh9Fo

CHADEMA Mbeya yailaani CCM kutumia vyombo vya dola kujaribu kuzima nguvu ya umma inayoisapoti CHADEMA, mbunge wa mjini Mbeya spika Tulia Ackson naye alaaniwa sana kwa mbinu zake chafu ...
 
19 Agosti 2024
Moshi, Kilimanjaro
Tanzania

MKUTANO WA BAWACHA MOSHI | WAWATIA HOFU CCM UCHAGUZI ZIJAZO​



View: https://m.youtube.com/watch?v=wRnzu8njkjA
Historia inaonesha kuwa kwa mfano nchini .....bi. Mary Ball Washington ... BAWACHA na CHADEMA kumejaa elimu kubwa huiwezi kuiona katika wakati wa sasa ndani ya chama dola kongwe .... muwezeshaji wa semina anapigilia msumari wa mwisho kuhusu CHADEMA ilivyojaa watanzania wenye uwezo ambao utawapeleka kuchukua dola na ikulu 2025 kukiwepo uchaguzi ulio wa haki na huru ....
 
02 September 2024
Mbinga, Tanzania

CHADEMA wilaya ya Mbinga Ruvuma


View: https://m.youtube.com/watch?v=xnnqFonPiNU
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya mbinga Ndugu STEVEN MATESO Amewaeleza wananchi wa kata ya utiri jimbo la Mbinga mjini kuhakikisha wanashiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kugombea na kuchagua viongozi wenye uwezo wa kutumia akili zao vizuri katika kusimamia rasilimali za taifa na wenye uwezo wa kuibua hoja bunifu zitakazochochea maendeleo
 
September 2024
Kata ya Utiri,
Mbinga, Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=ndfFZgJM-9w

Aliyekuwa mgombea ubunge 2015 na 2020 jimbo la Mbinga mjini kwa tiketi ya chadema ndugu MARIO MILINGA Ambae kwa sasa ni mtunza hazina wa CHADEMA kanda ya kusini, amewaomba wananchi wa kata ya Utiri iliyopo jimbo la Mbinga mjini Ruvuma Tanzania, kuacha uoga kwani uoga ni dhambi, badala yake wawe majasiri waungane na CHADEMA katika kuhakikisha ccm inaondolewa madarakani ili waweze kupata maendeleo tarajiwa....


Naye katibu muenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbinga mjini, mkoani Ruvuma kamanda URSO NOMBO amesema kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa wananchi wajikite katika kuhakikisha wanachagua viongozi bora na makini wasio wajinga,hayo ameyasema kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya utiri jimbo la Mbinga mjini....


View: https://m.youtube.com/watch?v=EO7svIM0Hig
 
7 September 2024
Ilongo, Mbarali
Tanzania

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Mbarali kimetoa mafunzo uchaguzi 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=b5ZTCs5vLHg

Mafunzo hayo yamelengwa kwa viongozi wake wa chama ngazi za matawi, vijiji, kata pamoja na watia nia wa nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji katika Tarafa ya Ilongo.
 
20 November 2024
Katavi, Tanzania

UCHAGUZI TAMISEMI 2024 KAMPENI

KUMEKUCHA! CHADEMA WAZINDUA KAMPENI KATAVI NI MWENDO WA KUPIGANA SPANA RHODA KUNCHELA AKEMEA RUSHWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=CPNcTgBJgnQ
Mkoa wa Katavi mipaka yake ni kama ifuatavyo:

Kaskazini unapakana na Wilaya za Urambo na Kaliua (Tabora).
Mashariki unapakana na Wilaya ya Sikonge (Tabora).Kaskazini Mashariki unapakana na Wilaya ya Chunya (Mbeya).Kusini unapakana na Wilaya ya Nkansi Nkansi (Rukwa). Kusini Mashariki unapakana na Wilaya ya Sumbawanga (Rukwa). Magharibi unapakana na Nchi ya Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo.Kaskazini Magharibi unapakana na Mkoa wa Kigoma
 
Back
Top Bottom