Catherine Ruge: Tumejenga BAWACHA ya kisasa Tanzania nzima hakuna Wajumbe naomba mnichague tena ili nishirikiane na Tundu Lissu kuipaisha CHADEMA

Kajiweka wazi kuwa ni timu lissu, haoni kuwa timu mbowe watamfutilia mbali aukose huo ukatibu, maana timu mbowe ndio wenye chama na hela wanazo!
Ndio vzr wabaki na hela na chama chao wenyewe
 
Akatafute kazi popote pengine uku kashanyea kambi!!!!
 
Kwa kumuunga mkono lissu, huyu mama apewe kura zote za ndio
 
Dada nampenda sana huyu
 
Mwenyekiti Mbowe Mitano tena
 
Nani anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bawacha? Ningependa aliyekuwepo aendelee.

Amandla...
 
Kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…