Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Sijaona popote akisema anamuunga mkono mgombea yoyote.Acha fix hajasema anamsupoort mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona popote akisema anamuunga mkono mgombea yoyote.Acha fix hajasema anamsupoort mtu.
Ndio vzr wabaki na hela na chama chao wenyeweKajiweka wazi kuwa ni timu lissu, haoni kuwa timu mbowe watamfutilia mbali aukose huo ukatibu, maana timu mbowe ndio wenye chama na hela wanazo!
View attachment 3189479
View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe huyu Msubati anasifa zote.
Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.
Mbowe alikwambia hivyo au ni mihemko yako tu inakusumbua.Tuache kutengeneza na kukuza mambo ambayo hayako.Hapo tayari ametangaza uandui na Mbowe
Jamaa washadata - yaani mgomnea wao kama atapata kura 50 basi kidume.Sijaona popote akisema anamuunga mkono mgombea yoyote.
View attachment 3189479
View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe huyu Msubati anasifa zote.
Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.
SubutuAtapigwa kama ngoma
Ukitaka kufukuzwa CDM gombea UenyekitiMbowe hana sumu tena
Watu wamemchoka hana jipya tenaMbowe asome alama za nyakati.
View attachment 3189479
View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe huyu Msubati anasifa zote.
Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.
Kasema wapi?Kajiweka wazi kuwa ni timu lissu, haoni kuwa timu mbowe watamfutilia mbali aukose huo ukatibu, maana timu mbowe ndio wenye chama na hela wanazo!
Wamemuwekea maneno kinywani.Akatafute kazi popote pengine uku kashanyea kambi!!!!
Team Lissu ni very manipulative. Wanajua Lissu hakubariki hivyo, wanalisha watu maneno ionekane anakubarika.Mm nimemsikiliZa mwanzo mpaka mwisho hakuna popote alimnadi lissu
View attachment 3189479
View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe huyu Msubati anasifa zote.
Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.
View attachment 3189479
View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ
Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe huyu Msubati anasifa zote.
Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.
Ya mapumzikoMwenyekiti Mbowe Mitano tena
😅😅😅Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa,anapigiwa kura na wajumbe wa Bawacha!
Wenzetu CCM Katibu Mkuu wa UWT Taifa utaratibu wa kumpata ukoje?**Nimeuliza TU
Jina MOJA kutoka mfukoniKatibu Mkuu wa BAWACHA Taifa,anapigiwa kura na wajumbe wa Bawacha!