Catherine Ruge: Tumejenga BAWACHA ya kisasa Tanzania nzima hakuna Wajumbe naomba mnichague tena ili nishirikiane na Tundu Lissu kuipaisha CHADEMA

Kajiweka wazi kuwa ni timu lissu, haoni kuwa timu mbowe watamfutilia mbali aukose huo ukatibu, maana timu mbowe ndio wenye chama na hela wanazo!
Ndio vzr wabaki na hela na chama chao wenyewe
 
View attachment 3189479

View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ

Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe huyu Msubati anasifa zote.

Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.

Akatafute kazi popote pengine uku kashanyea kambi!!!!
 
Kwa kumuunga mkono lissu, huyu mama apewe kura zote za ndio
 
View attachment 3189479

View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ

Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe huyu Msubati anasifa zote.

Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.

Dada nampenda sana huyu
 
Mwenyekiti Mbowe Mitano tena
 
Nani anagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bawacha? Ningependa aliyekuwepo aendelee.

Amandla...
 
View attachment 3189479

View: https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ

Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa unyenyekevu achaguliwe huyu Msubati anasifa zote.

Pamoja na hayo kizuri zaidi Mhe CPA Catherine Ruge anamuunga mkono Mwenyekiti mpya Mhe Tundu Lissu hivyo wafuasi wote wa Mhe Tundu Lissu mchagueni Mhe CPA Catherine Ruge kuwa Katibu wenu tena BAWACHA Taifa.

Kumekucha
 
Back
Top Bottom