CCM acheni siasa kwenye suala la Sensa 2022

CCM acheni siasa kwenye suala la Sensa 2022

witzone2

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2022
Posts
797
Reaction score
1,739
CCM imefika mahali wao kila kitu ni siasa. Nimeona watu wanapiga sana kelele sana kwenye mitandao kua uvccm ndo watafanya hili swala. Nimejiridhisha kwa [emoji817] % kuwa ndo wanapewa nafasi ya kufanya hili zoezi.

Na hii ni baada ya Mimi mwenyewe ambaye Sina chama chochote nikamfata Mtendaji Kata nahitaji nafasi na kwa kua ni jamaa angu akanambia. Fata kadi ya uanachama wa ccm uje nafasi ziko wazi.

Rushwa ni kubwa mno kwenye hili zoezi. Watu wanatoa rushwa sana lakn kipaumbele Cha kwanza ni kwa UVCCM.

Je, kulukua na haja Gani ya kuambia Watanzania kua watume maombi kumbe tayari mna majina yetu mfukoni. Na wanafanya usaili wa majina ni Mtendaji Kata ndo boss. Walimu wakuu watendaji wa mitaa/ vijiji. Kwa mfano mtaa nilipo wote waliochaguliwa Kata ya Kisesa Magu 50% wameletwa ni wagen hatujui wametoka wapi.

Kwenye hili nikagundua kua kama kawaida Yao kila sehemu ni siasa. Yafuatayo yatafanyika

1. Kupika data za uongo kwa kuonesha kiwango cha umaskini kimepungua sana nchini huku hali ni tofauti.

2 Kuonesha kiwango cha elimu kimepanda nchin. Huku hali ni tofauti.

3. Watu wengi wanapata huduma za jamii zilizoimarika. Kumbe hali ni tofauti. Na mengne mengi ya uongo kama kawaida Yao ambayo ndo jadi yao ya uongo.

Baada ya kugundua hayo. Maamuzi ya familia yangu ni kuwa hatutaweza hesabiwa wakajihesabu wenyewe na familia zao.
 
Twende polepole, Chama hiki kipo hatua za mwisho ktk UHAI wake.

Awamu zote hawakuwahi fanya jambo hili.

NANAKI
Si mgeni kwenye mambo haya, Hilo jambo wanalolitaka LITAGEUZWA, hawatolipata,

Kuna mtu bahati itamwangukia asotarajiwa.

Nashauri tusigomee zoezi.
Ameeen.
 
Hili suala,kama inazidi kudhihirika kua UVCCM na wanachama wa CCM ndiyo wanaopitishwa,naona haina haja ya kuhesabiwa watu wrote,wahesabiwe watakaokua hawajui kiendeleacho.Haohao wanatosha.
 
Hili suala,kama inazidi kudhihirika kua UVCCM na wanachama wa CCM ndiyo wanaopitishwa,naona haina haja ya kuhesabiwa watu wrote,wahesabiwe watakaokua hawajui kiendeleacho.Haohao wanatosha.
Tuweke Maslahi ya nchi mbele,

Tukifanya hivyo tutakuwa sawa na wao, kichaa kasepa na "nguo" zetu, tusimkimbize.
 
Tuweke Maslahi ya nchi mbele,

Tukifanya hivyo tutakuwa sawa na wao, kichaa kasepa na "nguo" zetu, tusimkimbize.
Tukiwapa sapoti wataendelea kutudharau ndugu yangu na kutuona hatuna akili. Yaan wao kila kitu ni siasa wanaingiza hawana hata aibu kabisa. Ngoja wafanye tu wenyewe aisee.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Tuweke Maslahi ya nchi mbele,

Tukifanya hivyo tutakuwa sawa na wao, kichaa kasepa na "nguo" zetu, tusimkimbize.
Maslahi ya Taifa yatawekwaje mbele,huku ndani ya hilihili Taifa,fursa zinazopatikana zinagawiwa kwa upendeleo wa wazi kabisa?
TAMISEMI wametoa majina,baadhi wameingia ajirani kwa koneksheni,yaani wa 2016 ameachwa,wa 2021 ameingizwa,limekuja suala la sensa,UVCCM wanapewa kipaumbele,wasiokua na ajira rasmi,namaanisha walioachwa na TAMISEMI,wanaachwa,wanachukuliwa wao na walimu wenye ajira tayari.Utaifa unawekwaje mbele hapo?Wacha wahesabiane wenyewe,ili wampe mama takwimu aende akakope hela,awaletee,sisi kazi yetu ni kulipa kodi tu,ambayo haichagui huyu ni CCM au hana chama.
 
Kitendo tu cha kuvuja kwa ile barua ya katibu wa uvccm mbeya imewavua nguo hawa jamaa ila kama kawaida hawana soni wamejikaza kama hawajaona kilichotokea,
kuanzia Anna Makinda mwenyewe na viongozi wengine wote wameona hiyo barua ya uvccm ila wamekimya kwasababu ya mahaba kwa chama.
 
👇😁😁😁
843877.jpg
 
Tukiwapa sapoti wataendelea kutudharau ndugu yangu na kutuona hatuna akili. Yaan wao kila kitu ni siasa wanaingiza hawana hata aibu kabisa. Ngoja wafanye tu wenyewe aisee.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Tanzania inatakiwa ipewe kipaumbele namba 1.

Tutumie HAKI yetu kikatiba kudai KATIBA Mpya, ujio wa KATIBA mpya utaiua CCM automatically.

Tunaweza kushinikiza hao MAKADA wakaondolewa Kwa nafasi hizo Bado tukahesabiwa.

Pia tukiambiwa tutoke kudai HAKI kupitia maandamano tusipuuze maana wachache hawasikilizwi, bt sauti ya wengi ni ya Mungu.
 
Tukiwapa sapoti wataendelea kutudharau ndugu yangu na kutuona hatuna akili. Yaan wao kila kitu ni siasa wanaingiza hawana hata aibu kabisa. Ngoja wafanye tu wenyewe aisee.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Tusisusie kama wamama wafanyavyo.

Tutoke mbele Kwa ujasiri kudai HAKI, Kila mmoja Kwa nafasi yake, kundi dogo sana linalosumbua hawawezi kutusumbua sisi ni waajiri wao.
 
Tusisusie kama wamama wafanyavyo.

Tutoke mbele Kwa ujasiri kudai HAKI, Kila mmoja Kwa nafasi yake, kundi dogo sana linalosumbua hawawezi kutusumbua sisi ni waajiri wao.
Mwisho wa siku utajikuta peke yako, nchi hii watu wanaongea sana matendo ni zero
 
Ninaitisha MGOMO wa kutokuhesabiwa katika sensa hii
Nashauri itisha mgomo MAKADA wasio na vigezo waondolewe.

Wasiposikia CCM iondolewe kwenye nafasi yake.

Kuhesabiwa ni MUHIMU kama Nchi.

Ameeeen
 
Acha kujidanganya, ccm haiwezi shindwa jambo kwa kelele za mitandaoni
Ccm ni lini waliwahi kua wakweli wewe pomomo. Siku zote hutumia njia za uharamia kufanya jambo lao. Na uharamia huo umebaki kwenye kutumia polisi tu.. mbona hili miaka ya nyuma halikuwepo

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Maslahi ya Taifa yatawekwaje mbele,huku ndani ya hilihili Taifa,fursa zinazopatikana zinagawiwa kwa upendeleo wa wazi kabisa?
TAMISEMI wametoa majina,baadhi wameingia ajirani kwa koneksheni,yaani wa 2016 ameachwa,wa 2021 ameingizwa,limekuja suala la sensa,UVCCM wanapewa kipaumbele,wasiokua na ajira rasmi,namaanisha walioachwa na TAMISEMI,wanaachwa,wanachukuliwa wao na walimu wenye ajira tayari.Utaifa unawekwaje mbele hapo?Wacha wahesabiane wenyewe,ili wampe mama takwimu aende akakope hela,awaletee,sisi kazi yetu ni kulipa kodi tu,ambayo haichagui huyu ni CCM au hana chama.
Tujikite ktk HOJA kuu Kwa sasa itakayomsaidia kuondoa matatizo yote kimfumo ni KATIBA MPYA.

Twende kimkakati tusipoteze Dira.

Tuongeze shinikizo JUDGE Warioba arudishwe kwenye Tume AAPISHWE Ili amalizie KAZI aliyoianza.

Bt tukubali KUHESABIWA. Ameeeen
 
Ccm ni lini waliwahi kua wakweli wewe pomomo. Siku zote hutumia njia za uharamia kufanya jambo lao. Na uharamia huo umebaki kwenye kutumia polisi tu.. mbona hili miaka ya nyuma halikuwepo

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Polisi wametumika miaka yote, acha kujidanganya, ccm ipo imara sana kelele za mitandaoni haziwezi waangusha
 
Back
Top Bottom