witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 797
- 1,739
CCM imefika mahali wao kila kitu ni siasa. Nimeona watu wanapiga sana kelele sana kwenye mitandao kua uvccm ndo watafanya hili swala. Nimejiridhisha kwa [emoji817] % kuwa ndo wanapewa nafasi ya kufanya hili zoezi.
Na hii ni baada ya Mimi mwenyewe ambaye Sina chama chochote nikamfata Mtendaji Kata nahitaji nafasi na kwa kua ni jamaa angu akanambia. Fata kadi ya uanachama wa ccm uje nafasi ziko wazi.
Rushwa ni kubwa mno kwenye hili zoezi. Watu wanatoa rushwa sana lakn kipaumbele Cha kwanza ni kwa UVCCM.
Je, kulukua na haja Gani ya kuambia Watanzania kua watume maombi kumbe tayari mna majina yetu mfukoni. Na wanafanya usaili wa majina ni Mtendaji Kata ndo boss. Walimu wakuu watendaji wa mitaa/ vijiji. Kwa mfano mtaa nilipo wote waliochaguliwa Kata ya Kisesa Magu 50% wameletwa ni wagen hatujui wametoka wapi.
Kwenye hili nikagundua kua kama kawaida Yao kila sehemu ni siasa. Yafuatayo yatafanyika
1. Kupika data za uongo kwa kuonesha kiwango cha umaskini kimepungua sana nchini huku hali ni tofauti.
2 Kuonesha kiwango cha elimu kimepanda nchin. Huku hali ni tofauti.
3. Watu wengi wanapata huduma za jamii zilizoimarika. Kumbe hali ni tofauti. Na mengne mengi ya uongo kama kawaida Yao ambayo ndo jadi yao ya uongo.
Baada ya kugundua hayo. Maamuzi ya familia yangu ni kuwa hatutaweza hesabiwa wakajihesabu wenyewe na familia zao.