CCM ilikuwa ife 2015, kipindi kile hata ukivaa nguo ya CCM unapigwa mawe na kuzomewa.
Bahati nzuri wakamteua Magufuli, ikabidi atumie brand yake ya uchapakazi kuinusuru.
Huyu aliiheshimisha CCM. Akaachana na mafisadi na wauza madawa ya kulevya. CCM tena ikaanza kuaminika na kuwa na mvuto.
Ametoka Magufuli akaingia mama. Anakumbatiana na walewale waliotaka kuiua CCM 2015. CCM inapoteza mvuto kwa kasi ya ajabu.
Ni vile hatuna tu upinzani wa kweli, waliopo ni wachumia tumbo. Otherwise come 2025 CCM ingetoka madarakani!