CCM chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan iko imara kuliko kipindi chochote

Kwanini unaona kama alipendelewa kutozuiliwa? kwanini unaona kama ni privelege kapewa kutozuiliwa kuhudhuria kongamano Iringa?
 
Kwanini unaona kama alipendelewa kutozuiliwa? kwanini unaona kama ni privelege kapewa kutozuiliwa kuhudhuria kongamano Iringa?
Hapana sijasema kama alipendelewa au it was kind of privilege...ninachosema hakuna kiongozi wa Chama rafiki(Ambao nyie mnajiita Wapinzani) anayeweza kubughudhiwa kwa kutekeleza kazi zake za Chama chake kama amaefuta taratibu, kanuni na Sheria zilizopo
 
Huu ndo ukweli mtupu,wamekalia kuona wao ndo wamekikuza chama wanasahau kwamba kuna watu wamepambana 2015 hadi 2020..
 
Huu ndo ukweli mtupu,wamekalia kuona wao ndo wamekikuza chama wanasahau kwamba kuna watu wamepambana 2015 hadi 2020..
Kila mtu anathaminiwa kwa kile alichokifanya kwa wakati wake, sasa tusiwape heshima yao watu wanaofanya vizuri sasa kwa kuwa kuna watu walifanya vizuri 2015 hadi 2020?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…