MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Duh Allah ndiyo ujuzi wa vyoteMwaka huu atadondoka rais mstaafu mmoja ...Nakili haya maneno.
Membe angeweza kutoboa kabisa...angejilinda yuleWagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
Au kwasababu umesikia Mzee Mwinyi ni mgonjwa. Sitashangaa Mungu akiamua udondoke wewe kabla ya rais mstaafu!!Mwaka huu atadondoka rais mstaafu mmoja ...Nakili haya maneno.
Kuna mtu anaogopa kifo ? Mimi nitakufa lazima sina ujanja mbele ya MunguAu kwasababu umesikia Mzee Mwinyi ni mgonjwa. Sitashangaa Mungu akiamua udondoke wewe kabla ya rais mstaafu!!
Sawa English Literature TeacherPassed like a shadow
We MUNGU?Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
China ya miaka 20 hawafi?Inatakiwa sasa marais wawe na umri chini ya miaka 40.
View attachment 2899887
Huduma za afya kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi ni mbovu nchini Tanzania, hivyo umri wa juu kabisa kwa mtia nia kuwa mgombea urais mwenye afya nzuri ya mwili na akili mwisho miaka 50.
Mgombea atakiwe kupitia ukaguzi wa afya kama vile mchezaji Professional anapitakiwa kusajiliwa. Hii ni muhimu na zoezi liwe la wazi mbele ya umma kupimwa magonjwa yasiyo ambukizi kama pressure, pumzi ya kukimbia ktk tread mill, kuzungumza lugha ngeni n.k
Nawasilisha hoja.
That means; watu waachane na conspiracies za kijinga - Mungu amewakataa wote!Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
Yule bibi mwaka kesho atatimiza miaka 65,akipewa uraisi kuelekea 2030 hapo katikati tutakula pilau Zanzibar.Inatakiwa sasa marais wawe na umri chini ya miaka 40.
View attachment 2899887
Huduma za afya kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi ni mbovu nchini Tanzania, hivyo umri wa juu kabisa kwa mtia nia kuwa mgombea urais mwenye afya nzuri ya mwili na akili mwisho miaka 50.
Mgombea atakiwe kupitia ukaguzi wa afya kama vile mchezaji Professional anapitakiwa kusajiliwa. Hii ni muhimu na zoezi liwe la wazi mbele ya umma kupimwa magonjwa yasiyo ambukizi kama pressure, pumzi ya kukimbia ktk tread mill, kuzungumza lugha ngeni n.k
Nawasilisha hoja.
Bado mzee wa ubwabwaWagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
Kwanini yule hafi?Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
Mbona hilo linajulikana mkuuMwaka huu atadondoka rais mstaafu mmoja ...Nakili haya maneno.