Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Is it by human strategies or God's will?Mwaka huu atadondoka rais mstaafu mmoja ...Nakili haya maneno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is it by human strategies or God's will?Mwaka huu atadondoka rais mstaafu mmoja ...Nakili haya maneno.
God's willIs it by human strategies or God's will?
Ndugu, acha kumtabiria binadamu mwenzako kifo na wakati wewe mwenyewe hapo ulipo huijui kesho yako.Mwaka huu atadondoka rais mstaafu mmoja ...Nakili haya maneno.
Ata au amesha?Mwaka huu atadondoka rais mstaafu mmoja ...Nakili haya maneno.
Si kweli Magufuli hakuishi kwa sababu hakuwa Puppet, Lowasa kufika hadi jana ni kwa sababu hakuwa rais na alionekana si tishio.Inatakiwa sasa marais wawe na umri chini ya miaka 40.
View attachment 2899887
Huduma za afya kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi ni mbovu nchini Tanzania, hivyo umri wa juu kabisa kwa mtia nia kuwa mgombea urais mwenye afya nzuri ya mwili na akili mwisho miaka 50.
Mgombea atakiwe kupitia ukaguzi wa afya kama vile mchezaji Professional anapitakiwa kusajiliwa. Hii ni muhimu na zoezi liwe la wazi mbele ya umma kupimwa magonjwa yasiyo ambukizi kama pressure, pumzi ya kukimbia ktk tread mill, kuzungumza lugha ngeni n.k
Nawasilisha hoja.
Inategemea na harakati zake.Kwahyo kipara nae ajiandae kisaikolojia au, manake baba ake kasema teyari wazuri hawafi
Mkuu,Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe.
Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
Lowassa alikuwa anakufa, option kwake zilikuwa mbili akose uraisi apate muda wa kuondoa sumu akizeeka au vinginevyo.Mkuu,
Hujafikiria kuwa ukichukua matokeo tofauti na maisha yanaweza kubadilika huko mbele?
Vipi kama Lowassa angechaguliwa rais na hilo lingesababisha msururu wa mambo ambao ungefanya wote watatu wawepo wanaishi bado?
Swali langu naona hujalielewa, in any case, hujalijibu.Lowassa alikuwa anakufa, option kwake zilikuwa mbili akose uraisi apate muda wa kuondoa sumu akizeeka au vinginevyo.
Si kila kifo Mungu hupanga
Kristo katika biblia anasema, kesheni kwa kuwa hamjui siku wala saa. Hivyo hakuna ajuaye nani atakufa lini. Ndiyo maana kila siku wanaonekana wazima, vijana, wenye nguvu, wanakufa huku wakiwaacha baadhi ya wagonjwa wakiwa taabani vitandani, na baadhi yao huamka na kuendelea kuishi.Yule bibi mwaka kesho atatimiza miaka 65,akipewa uraisi kuelekea 2030 hapo katikati tutakula pilau Zanzibar.
Upo sahihi , lowassa kufariki na 70 yrs ni umri sahihi kwakeKristo katika biblia anasema, kesheni kwa kuwa hamjui siku wala saa. Hivyo hakuna ajuaye nani atakufa lini. Ndiyo maana kila siku wanaonekana wazima, vijana, wenye nguvu, wanakufa huku wakiwaacha baadhi ya wagonjwa wakiwa taabani vitandani, na baadhi yao huamka na kuendelea kuishi.
Hata Lowasa, wapo wengi mlitabiria kifo miaka mingi iliyopita kutokana na tatizo lake la afya, lakini Mungu aluwachukua wote kabla ya Lowasa.
Poleni sana wanafamilia wa Edward Lowasa. Tunaomba Mungu amjalie pumzime jema la milele kwenye ufalme wake.
Maneno ya wataalam
Fumes from welding create a toxic source of manganese toxins. High concentrations of manganese become trapped in the brain cells and are practically impossible to release from the brain tissues using standard detox practices.
Kuna sumu zingine kama Mercury, dawa za wadudu na mimea hata dawa za kufulia huweza sababisha huu ugonjwa lakini wataalam wanasema kwa level ndogo/kawaida ya hizi sumu huchukua miongo kuonesha dalili, imagine Lowassa alikuwa anapitia changamoto gani.
Siyo kuna kili ameshajulikana,ila tuombe Allah amvushe salama na afya iwe njemaAta au amesha?
Si kweli wazungu wanawahi kuchokaSwala la Afya na umri ni muhimu kuzingatiwa
Hapa Africa lifestyle yetu inafanya MTU mwenye age 60+yrs kuonekana amechoka Sana. Tofauti na wazungu.