Inatakiwa sasa marais wawe na umri chini ya miaka 40.
View attachment 2899887
Huduma za afya kuzuia magonjwa yasiyo ambukizi ni mbovu nchini Tanzania, hivyo umri wa juu kabisa kwa mtia nia kuwa mgombea urais mwenye afya nzuri ya mwili na akili mwisho miaka 50.
Mgombea atakiwe kupitia ukaguzi wa afya kama vile mchezaji Professional anapitakiwa kusajiliwa. Hii ni muhimu na zoezi liwe la wazi mbele ya umma kupimwa magonjwa yasiyo ambukizi kama pressure, pumzi ya kukimbia ktk tread mill, kuzungumza lugha ngeni n.k
Nawasilisha hoja.
Si kweli Magufuli hakuishi kwa sababu hakuwa Puppet, Lowasa kufika hadi jana ni kwa sababu hakuwa rais na alionekana si tishio.
kati ya mwaka 2012 hadi 2014 Lowassa alianza kuonekana na aina ya ugonjwa unaitwa Parkinson's
Kwa msaada wa Google
What causes the loss of nerve cells?
It's not known why the loss of nerve cells associated with Parkinson's disease occurs, although research is ongoing to identify potential causes.
Currently, it's believed a combination of genetic changes and environmental factors may be responsible for the condition.
Genetics
A number of genetic factors have been shown to increase a person's risk of developing Parkinson's disease, although exactly how these make some people more susceptible to the condition is unclear.
Parkinson's disease can run in families as a result of faulty genes being passed to a child by their parents. But it's rare for the disease to be inherited this way.
Environmental factors
Some researchers also feel environmental factors may increase a person's risk of developing Parkinson's disease.
It's been suggested that pesticides and herbicides used in farming and traffic or industrial pollution may contribute to the condition.
But the evidence linking environmental factors to Parkinson's disease is inconclusive.
Lowassa Mwenye nguvu na hali ilimchukua muda mfupi sana kuonesha dalili na kuwa mgonjwa kwa hiyo hili suala in terms of Genetic tuliangalie kwenye Familia yake kama lipo (Mtoto wa Lowassa ana haiba ya Udhaifu, ila hajafikia hatua ya kutetemeka)
Tunabaki na sababu ya pili (Enviromental factors) kwa haraka ambayo wataalam wanasema kuwa exposure to metals kama Mercury na manganese zinaweza kusababisha hali ya kutetemeka aliyokuwa nayo Lowassa
Maneno ya wataalam
Fumes from welding create a toxic source of manganese toxins. High concentrations of manganese become trapped in the brain cells and are practically impossible to release from the brain tissues using standard detox practices.
Kuna sumu zingine kama Mercury, dawa za wadudu na mimea hata dawa za kufulia huweza sababisha huu ugonjwa lakini wataalam wanasema kwa level ndogo/kawaida ya hizi sumu huchukua miongo kuonesha dalili, imagine Lowassa alikuwa anapitia changamoto gani.
Exposure to Metals - Parkinson’s Care and Support UK
Hakuna kazi ya Hatari kama Siasa.