JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Kama huwezi kupigana na kupanda mpaka juu na kuibadili katiba basi tii katiba iliyopo.Huu ndio ushauri sahihi. Ni nadra sana waafrika kufanya mabadiliko yao ya mifumo ya kiutawala kwa amani bila machafuko kwanza. Mara zote machafuko ndio huleta kuheshimiana.
Ahaaa, najua unataka kurudi kujadili ulivyoshindwa ubunge Nov 2020. Huu sio mjadala halisi.Narudia tena, bila machafuko ni nadra mabadiliko kufanywa na waafrika. Njia ya kura inafahamika kuwa haiwezi kuwaondoa madarakani ving'ang'anizi wa madaraka. Chaguzi zote za kishenzi chini ya Magu zimethibitisha kuwa kura ni njia ya kupotezeana muda.
Kama huwezi kupigana na kupanda mpaka juu na kuibadili katiba basi tii katiba iliyopo.
Itakua na fursa za upigajiHiyo katiba mwanasiasa yeyote aliyeko madarakani anaipenda.
Chama kinachoweza kufanya hili ni chadema ila Ccm weshawalegeza tena.Kupigana kuna hatua zake boss, na haziko mbali kihivyo.
Sasa kama watanzania mil 12 waliiweka madarakani Ccm nyie mil mbili ndio mnataka mshike bunduki? Hao mil 46 waliobaki nao mnataka muwaletee matatizo?
Mrija wa Posho ya buku 7 umekatwa anatapatapaMkuu Kwan wewe upo upande wetu toka lini
Chama kinachoweza kufanya hili ni chadema ila Ccm weshawalegeza tena.
Mkuu Kwan wewe upo upande wetu toka lini
Kwa sababu mko madarakani!
wananchi hawaitaki, genge la watu wachache hawawezi jimilikisha mawazo ya watu milioni 50.
Katiba ya sasa ya JMT bado inafaa haya maneno yanatakiwa ccm iyaseme mwaka 2025. Kwa sasa ni mapema mno.
Wanataka kumkwamisha Rais Hassan
Ni watu wa MATAGA hao wakiongozwa na Musibawananchi hawaitaki, genge la watu wachache hawawezi jimilikisha mawazo ya watu milioni 50.
Dah...kumbe hii ndiyo sababu hasa ya kudai katiba mpya? [emoji15]Wanaotaka katiba mpya waitafute kwa nguvu. Ccm haiwezi badili katiba ili wawasaidie upinzani kuingia madarakani au wawarahisishie kumtikisa raisi. Piganeni.
Nahisi Mimi sitokuja kuipenda.Hiyo katiba mwanasiasa yeyote aliyeko madarakani anaipenda.