MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
- Thread starter
-
- #101
Ndio ni Mtumishi wa umma,
Lakini yupo pale kukiwakilisha Chama Cha siasa kilicho shinda uchaguzi,
Kinacho Tawala ni chama sio Mtu.
Kwani Serikali inatengenezwaje,Hayo ni maneno ya kikomunisti yaliyoletwa na Muhuni Nyerere wa Butuiama.
Anayetawala ni serikali (The Executive) inayoongozwa na Raisi (The President).
Hawa ndiyo watu ambao sisi tutawajibisha kupitia, Collective Ministerial Responsibility au Individual Ministerial Responsibility. Unachokisema hapa ni propaganda za kijamaa za chama kimoja ambazo ziko huko Uchina na Korea Kaskazini, mambo ya CHAMA DOLA. H
Sawa
Nini Kazi ya chama baada ya kushika Dora?
Kwani Serikali inatengenezwaje,
Au unadhani Raisi na makamu wake wanakaa wanaanza Kupanga Kuhusu Serikali?
Sasa ukitaka kuchambua Kitu usiangalie Mbele hautapata kujua utaongea Kwa Hisia na sio uhalisia,Kila chama kina utaratibu wake ambao huwahusu wenyewe tu.
Sisi anayetuhusu ni mwanasiasa ambaye ameshika wadhifa wa kisiasa.
Ambapo cha kwanza kabisa tunachotegemea kwake ni kukiishi kiapo chake cha ofisi:
1. Kulinda katiba ya Tanzania.
2. Kuwatumikia watanzania wote.
3. Kutofanya siasa za kibaguzi (Kidini, kikabila, kichama)
Wewe unachotaka kulazimisha hapa ni kuleta siasa za kibaguzi ambazo zinawapa haki CCM kuliko wananchi wengine kwasababu tu mgombea wa Uraisi anatoka chama chao.
Sasa ukitaka kuchambua Kitu usiangalie Mbele hautapata kujua utaongea Kwa Hisia na sio uhalisia,
Fatilia Kila Kitu ujue mfumo unavyo fanyakazi na unavyo takiwa kufanya Kazi ndio utoe maoni Kwa Uzuri utawasaidia na Wengine.
Umri huo mudi alimuingilia Aisha.Uraisi wa Tanzania hata akipewa binti yako wa miaka sita huwezi kumpigia kelele!
Kwanza Kabisa sifa za Mtu kugombea nafasi hiyo lazima awe mwanachama wa chama Fulani Cha siasa.Haya wewe unayefahamu nioneshe ni wapi katiba inasema moja kwa moja kwamba Chama Kikimvua Raisi/Makamu uanachama basi anapoteza sifa za kuwa Raisi ???
Kabisa mkuu.Hili katiba linampa mtu moja nguvu ya kuwanyongea wenzake halafu yeye yupo "SAFE" aguswi.
Huyu mtu anaweza kuuwa wote likataka kubaki yeye tu Tanzania
Vipi kama huyo mtu alipigiwa kura kwa sababu ya uwezo au ushawishi wake na siyo kwa sababu ya chama chake?Ndio ni Mtumishi wa umma,
Lakini yupo pale kukiwakilisha Chama Cha siasa kilicho shinda uchaguzi,
Kinacho Tawala ni chama sio Mtu.
Kwanza Kabisa sifa za Mtu kugombea nafasi hiyo lazima awe mwanachama wa chama Fulani Cha siasa.
Hii tu Inatosha kumaanisha kwamba Kama Mtu hana chama chochote Tayari kapoteza sifa za kuwa kwenye nafasi husika.
Ni sawa, lakini utaratibu sahihi uliopaswa kufuatwa ni:Sio Swala la Bunge peke yake chama pia kina husika Kwa Asilimia 70
Kwa Sababu ndio kilicho muajili au kilicho muweka kwenye hiyo Nafasi.
Anapoteza sifa ya kuwa kwenye nafasi husika au ya kugombea nafasi? Maana kugombea nafasi vs umeipata nafasi ni vitu viwili tofauti.Kwanza Kabisa sifa za Mtu kugombea nafasi hiyo lazima awe mwanachama wa chama Fulani Cha siasa.
Hii tu Inatosha kumaanisha kwamba Kama Mtu hana chama chochote Tayari kapoteza sifa za kuwa kwenye nafasi husika.
***** acha watoane macho... Sema nini ...mwisho wa ccm mbaya sana😆😆Ufalme uliofitikana huwa haudumu
..... gulio ya washenzi 🥸
Hapo ndio nakosa kuelwa kabisa CCM wananguvu gani za kumtoaMakamu wa Raisi ni mtumishi wa ummah mwenye kinga dhidi ya mashauri yote ya kisheria.
Kama mahakama tu haziwezi kumshitaki au kumuwajibisha Makamu wa Raisi kwa kosa lolote lile bila idhidi ya bunge, iweje CCM ambacho ni kigenge cha wahuni wawe na nguvu zaidi ya mahakama kutuamilia watanzania milioni 60 hatma yetu ???
Ufalme uliofitikana huwa haudumu
..... gulio ya washenzi 🥸
Nimekupata Mkuu. Katiba ni sharti ifuatwe vinginevyo tutakuwa na changamoto katika kuwa wamoja kama taifa.Hayo mengine ni yenu, mimi nafuata nini katiba inasema!