MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
- Thread starter
-
- #161
Migiro hapo Kosa lake ni lipi? Yeye si anasoma kilocho azimiwa?
Kiwete ndio Rais mstaafu aliyepo. Na yupo kama juha tu kwasababu kila kinachotokea yeye ndio mhusika.Kikwete the King maker mtoe , yeye kipindi chake hakufanya huu uhuni anafanya kipindi cha mwenzie akiwa officially retired.
Kuna ilivyo na inavyopaswa kuwa. Tukitumia rejea ya yaliyojiri, ilivyo ni ukifutwa uanachama umevuliwa nafasi. Je, ndivyo inavyopaswa kuwa? I don't know.Hata hivyo tunarudi kwenye suali letu la msingi.
Hata kama katiba inasema lazima awe mwanachama wa chama cha kisiasa,
Je, kufukuzwa uanachama kwa makosa ya kinidhamu ndiyo kuvuliwa nafasi ya umakamu moja kwa moja bila kupita bungeni ???
Kuna ilivyo na inavyopaswa kuwa. Tukitumia rejea ya yaliyojiri, ilivyo ni ukifutwa uanachama umevuliwa nafasi. Je, ndivyo inavyopaswa kuwa? I don't know.
Kuhusu hoja yako ya Uhaini kama ipo basi imewahusu pia wabunge waliopitisha jina pendekezwa au imefutika kwa bunge kupitisha jina pendekezwa kutegemeana na tafsiri ya katiba.
Katiba inasemaje kuhusu wabunge kupitisha jina pendekezwa la makamu ambaye yupo madarakani?
Nauliza Zitto Kabwe alifutwa ubunge? Kina Halma Mdee walifutwa ubunge?Kama wabunge wakifutwa uanachama wanapoteza nafasi zao za ubunge katika majimbo ya wananchi wao waliowachagua basi pia ni hivyo hivyo kwa rais na makamu wa rais kwa sababu wote katiba inataka wawe na udhamini wa chama nyuma yao ili waweze kushika hizo nafasi. Spika wa bunge tu ndiye hawezi kuondolewa na chama madarakani kama ana sapoti ya wabunge wengi hata kama chama kikimfuta uanachama.
Kuna muda naona ni kama tunapeana matumaini... kuhusu kuwajibishwa kwa hawa watawala ambao wanafanya ushenzi huu.Famahamuni haya fika.
Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku moja. Hivyo kinga ambayo anaipata Raisi ndiyo hiyo-hiyo anaipata Makamu wake. Kitaalamu hii tunaiita Functional Immunity (From Civil & Criminal Proceedings).
Emmanuel Nchimbi, unaweza usimpende lakini analindwa na katiba kama ambavyo Raisi Samia alilindwa na Katiba mwaka 2021 wakati akiwa Makamu wa Raisi asiyekuwa anaifahamu hatma yake. Wengi hatukutaka Raisi Samia awe Raisi, lakini Kikwete na Mabeyo ndiyo walimfanya Samia akawa Raisi. Wengi hatukupinga wala kulalamika kwasababu lilifanyika kikatiba.
SASA BASI, nchini Tanzania kuna haya yafuatayo ambayo yako bayana kabisa:
MOSI, Mamlaka ya nidhani (Disciplinary Authority) ya Raisi na Makamu wake ni Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siyo Msajili wa vyama, siyo Jaji Mkuu, siyo Jeshi na wala siyo NEC ya CCM. Makamu wa Raisi hata kama Raisi hampendi anatakiwa apeleke mashitaka kwenye chama, halafu chama wapeleke mashitaka hayo bungeni ambako wataanzisha mchakato wa kumvua nafasi makamu wa Raisi (A motion of Impeachment), ambao utaishia na azimio maalumu ya kuthibitisha kwamba makamu atolewe au asitolewe (A Resolution Confirming Impeachment).
NEC ya CCM kumvua uanachama Makamu wa Raisi Emmanuel Nchimbi, ambaye kwa barua yake amesema ataondoka kwenye nafasi yake ifikapo tarehe 4 Septemba 2026 ni UHAINI. CCM imepoka madaraka ya Bunge na kutikisa taasisi ya Uraisi.
Fahamuni fika, kwamba leo hii akifariki Raisi Samia kabla ya tarehe 4 Septemba 2026, Raisi wetu atakuwa ni Dr. Emmanuel Nchimbi na siyo mtu mwingine. Hivyo ambacho mnakifanya sasa ni uhuni utakaokuja kuwatokea puani siku siyo nyingi, maana mshajenga mfano mbaya (A Bad Precedent)
PILI, Kinga ya Raisi ndiyo kinga ya Makamu Wake. Raisi na Makamu hawawezi kushitakiwa popote pale. Lengo la kumpa Raisi na Makamu wake kinga ni kuhakikisha ofisi ya Raisi inathibitika ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu makubwa ya kitaifa. Hivyo madai yote dhidi ya Raisi na Makamu ni lazima yapitie bungeni kwanza. Mtu hawezi kuamka tu akasema leo hii hatumpendi fulani basi tumvue uanachama ili apoteze nafasi yake ya Uraisi au Umakamu. Kama hili litakuwa linafanyika, hatutakuwa na nchi bali gulio ya washenzi, ambapo kila muhuni anaamka tu na anamuondoa Raisi akijisikia.
========================================================================
JAMBO LOLOTE BAYA, likimtokea Makamu Wa Raisi, Dr.Emmanuel Nchimbi kipindi hiki hata baada ya kuachia nafasi, sisi tutalichukulia hili kama UHAINI. Kinara wa huo uhaini ni Dr. Asha Rose Migiro na wengine. Mlipoka madaraka ya bunge kwa kuifanya CCM ivumbe Ibara ya 50 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Na kwasababu mshaonesha nia ovu, hata baada ya 4 Septemba 2026, tutaangalia kwamba lolote litakalotokea kwa Dr.Emmanuel Nchimbi halikuanzia bungeni, hivyo ulikuwa ni UHAINI usio na uhalali.
JINAI haiozi, wote mliohusika na hili sakata, ombeni sana MUNGU hata siku moja asiingie mtu mwendawazimu kwasababu mtanyongwa na kupigwa risasi barabarani kama wanyama. Hili wala haliitaji ushahidi, tumeona mkivunja katiba waziwazi na kufanya mambo ambayo yanatishia usalama wa Makamu wa Raisi.

Wajinga wengi watatoa mfano wa kuondolewa kwa Aboud Jumbe Mwinyi, lakini ukweli ni kwambwa mwaka 1984, Mwinyi alikuwa Makamu wa Pili wa Raisi, ambaye aliongoza Zanzibar iliyokuwa haina hata KATIBA yake. Tena kubwa zaidi ni kwamba alikuwa anateuliwa na Wazanzibari tu, siyo watanzia wote.
Hili la sasa litasababisha matatizo makubwa mnoooo siku za karibuni.
=========================================================================
Wiki chache zilizopita wanasheria wa Tanzania wameenda ICC wakiongozwa na mwanasheria mkubwa ambaye jina lake hatutalitaja hapa. Kinachoendelea huko duniani ni kibaya na hata hii tume ya pili haitaweza kukizuia.
Binafsi huwa nasema hivi: NI SUALA LA MUDA TU..........
Bunge na wabunge wanachezeshwa ka mwanasesere, na walivyo WANAFIQ eti amepitishwa kwa asilimia mia moja ya kura, hakuna kura iliyomkataa wala kura iliyoharibika😁😁🙌🏽Vp amesema amestaafu kuanzia tar 4 hivyo kama ni taratibu za kupata vp mpya ilipaswa kuwa baada ya vp kuwa officially out of office. Sasa Bunge kutumia kigezo cha kufutwa uanachama kubariki vp mpya naona inakoenda. Huyu mwanzisha mada katufungua sana
Swali zuriMkuu MALCOM LUMUMBA
Umekuwa ukitoa ushauri mzuri na prediction za kitaalam sana juu ya maswala ya uongozi na siasa kwa ujumla, Shukrani kwa bandiko.
Nina swali Moja kwako, Kwa yanayoendelea hivi sasa, Je ni uthibitisho kuwa ikulu kwa maana ya Rais ana nguvu kuliko chochote katika nchi au chama kina nguvu kuliko ?
How comes Makamu wa Rais kufanyiwa uhuni na hakuna Reaction yoyote ndani ya mifumo?
***** acha watoane macho... Sema nini ...mwisho wa ccm mbaya sana😆😆
Mkuu hebu tuulizane leo, nchimbi ndo kafanya! Haya wamemfyeka ....tupo kimya... Ikaja kutokea ... rais akaenda kinyume chao.. wakaamua kumvua uanachama.. nini kitatokea kwamba nchi itahamishiwa kwa makamu wa rais? Na je watu 5 au 10 ndo wanaamua nan awe rais au hapana? Sisi wengine ni bendera fuata upepo?Famahamuni haya fika.
Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku moja. Hivyo kinga ambayo anaipata Raisi ndiyo hiyo-hiyo anaipata Makamu wake. Kitaalamu hii tunaiita Functional Immunity (From Civil & Criminal Proceedings).
Emmanuel Nchimbi, unaweza usimpende lakini analindwa na katiba kama ambavyo Raisi Samia alilindwa na Katiba mwaka 2021 wakati akiwa Makamu wa Raisi asiyekuwa anaifahamu hatma yake. Wengi hatukutaka Raisi Samia awe Raisi, lakini Kikwete na Mabeyo ndiyo walimfanya Samia akawa Raisi. Wengi hatukupinga wala kulalamika kwasababu lilifanyika kikatiba.
SASA BASI, nchini Tanzania kuna haya yafuatayo ambayo yako bayana kabisa:
MOSI, Mamlaka ya nidhani (Disciplinary Authority) ya Raisi na Makamu wake ni Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siyo Msajili wa vyama, siyo Jaji Mkuu, siyo Jeshi na wala siyo NEC ya CCM. Makamu wa Raisi hata kama Raisi hampendi anatakiwa apeleke mashitaka kwenye chama, halafu chama wapeleke mashitaka hayo bungeni ambako wataanzisha mchakato wa kumvua nafasi makamu wa Raisi (A motion of Impeachment), ambao utaishia na azimio maalumu ya kuthibitisha kwamba makamu atolewe au asitolewe (A Resolution Confirming Impeachment).
NEC ya CCM kumvua uanachama Makamu wa Raisi Emmanuel Nchimbi, ambaye kwa barua yake amesema ataondoka kwenye nafasi yake ifikapo tarehe 4 Septemba 2026 ni UHAINI. CCM imepoka madaraka ya Bunge na kutikisa taasisi ya Uraisi.
Fahamuni fika, kwamba leo hii akifariki Raisi Samia kabla ya tarehe 4 Septemba 2026, Raisi wetu atakuwa ni Dr. Emmanuel Nchimbi na siyo mtu mwingine. Hivyo ambacho mnakifanya sasa ni uhuni utakaokuja kuwatokea puani siku siyo nyingi, maana mshajenga mfano mbaya (A Bad Precedent)
PILI, Kinga ya Raisi ndiyo kinga ya Makamu Wake. Raisi na Makamu hawawezi kushitakiwa popote pale. Lengo la kumpa Raisi na Makamu wake kinga ni kuhakikisha ofisi ya Raisi inathibitika ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu makubwa ya kitaifa. Hivyo madai yote dhidi ya Raisi na Makamu ni lazima yapitie bungeni kwanza. Mtu hawezi kuamka tu akasema leo hii hatumpendi fulani basi tumvue uanachama ili apoteze nafasi yake ya Uraisi au Umakamu. Kama hili litakuwa linafanyika, hatutakuwa na nchi bali gulio ya washenzi, ambapo kila muhuni anaamka tu na anamuondoa Raisi akijisikia.
========================================================================
JAMBO LOLOTE BAYA, likimtokea Makamu Wa Raisi, Dr.Emmanuel Nchimbi kipindi hiki hata baada ya kuachia nafasi, sisi tutalichukulia hili kama UHAINI. Kinara wa huo uhaini ni Dr. Asha Rose Migiro na wengine. Mlipoka madaraka ya bunge kwa kuifanya CCM ivumbe Ibara ya 50 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Na kwasababu mshaonesha nia ovu, hata baada ya 4 Septemba 2026, tutaangalia kwamba lolote litakalotokea kwa Dr.Emmanuel Nchimbi halikuanzia bungeni, hivyo ulikuwa ni UHAINI usio na uhalali.
JINAI haiozi, wote mliohusika na hili sakata, ombeni sana MUNGU hata siku moja asiingie mtu mwendawazimu kwasababu mtanyongwa na kupigwa risasi barabarani kama wanyama. Hili wala haliitaji ushahidi, tumeona mkivunja katiba waziwazi na kufanya mambo ambayo yanatishia usalama wa Makamu wa Raisi.
========================================================================
Wajinga wengi watatoa mfano wa kuondolewa kwa Aboud Jumbe Mwinyi, lakini ukweli ni kwambwa mwaka 1984, Mwinyi alikuwa Makamu wa Pili wa Raisi, ambaye aliongoza Zanzibar iliyokuwa haina hata KATIBA yake. Tena kubwa zaidi ni kwamba alikuwa anateuliwa na Wazanzibari tu, siyo watanzia wote.
Hili la sasa litasababisha matatizo makubwa mnoooo siku za karibuni.
=========================================================================
Wiki chache zilizopita wanasheria wa Tanzania wameenda ICC wakiongozwa na mwanasheria mkubwa ambaye jina lake hatutalitaja hapa. Kinachoendelea huko duniani ni kibaya na hata hii tume ya pili haitaweza kukizuia.
Binafsi huwa nasema hivi: NI SUALA LA MUDA TU..........
Famahamuni haya fika.

Ok mkuuHoja ni kwamba, mpaka sasa Nchimbi ni Makamu wa Raisi.
CCM kumfukuza na kusema kwamba amepoteza sifa ya uanachama bila mchakato wa bunge ni uhaini.
Leo hii akifariki Samia, Nchimbi ndiyo Raisi wa nchi, siyo Ndejembi!
May b wanathibitisha kuwa hawakuchaguliwa na wtz 39m! Au mm nawaza vibaya.Makamu wa Raisi ni mtumishi wa ummah mwenye kinga dhidi ya mashauri yote ya kisheria.
Kama mahakama tu haziwezi kumshitaki au kumuwajibisha Makamu wa Raisi kwa kosa lolote lile bila idhidi ya bunge, iweje CCM ambacho ni kigenge cha wahuni wawe na nguvu zaidi ya mahakama kutuamilia watanzania milioni 60 hatma yetu ???