All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,569
Chama hakijieleqi kwa sasa kabisaTunaposema ndani ya CCM kuna watu wanahujumiana au wanamhujumu Rais Samia hamtuelewi mambo yanaanza kuwa wazi sasa. Gazeti mama la chama haliwezi kuandika habari hii bila kuwa na mkono wa viongozi wakubwa ndani ya chama.
Mama shituka mapema you will thank me later.
View attachment 1888095
PIA, SOMA:
- Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025
huko kunafukuta KWA SANA
POLENI SAAANA
Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app