figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Moja ya mada za kipuuzi toka kwa mtu ambaye ungedhani anafikra pevu za kutosha.Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
Hahahaaa... Umeongea kibabe mtu anaweza hisi unajua kitu. Hao unaosema wamechaguliwa, nambie kura alizopata Samia Suluhu jimbo moja tu. Jichagulie jimbo useme kapata kura ngapi. Hapo ndo tutajua amechaguliwa na anapendwa.wewe hujui kiasi wanavyopendwa na wananchi waliowachagua?
kama bishop gwajima ana ulinzi mkali sana,Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
View attachment 3689920
Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa ulinzi wa Joseph Gwajima au Paul Kagame? Achilia mbali huu ulinzi feki wa kupewa na Wambura.
Mfano kifo cha Magufuli, Magufuli kafa ndani wakati nje kuna Walinzi 80 wenye Bunduki na magazine mbilimbili.
Kifo cha mume wa Samia, Kupotea kwa Polepole, kufukuzwa kwa Nchimbi nk.
Au Shehe Mwaipopo kumshambulia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
Haya matukio naona ni uzembe na sifa za kijinga, ulimbukeni na ulevi wa madaraka. Yaani kiongozi wa Tanzania ni mapambo tu, haijalishi anaongea kwa kufoka kiasi gani. Anajiona analindwa kumbe masanamu tu yamemzunguka.
Yaani adui anaweza akaja akajichagulia Viongozi wa kuua kama kuku bandani. Na kuku waliobaki wanashangaa hata kelele hawapigi.
Ndo maana hata nikisia Samia Suluhu kafa siwezi kushangaa..
Hebu fikiria Kifo cha John Magufuli halafu akajazwa ujinga tutakutibia Makumbusho kwa siri akakubali. Alijua usalama wa Taifa upo kwaajili yake kumbe watu wapo kwenye ajira familia zao zile hata hakuna anayejali unakufa au hufi.
Mume wa Samia anafia hospitali ya Mnazi mmoja.
Nchimbi anafukuzwa uanachama kisa kudai Katiba mpya. Sio kwamba kafukuzwa sababu ya Ufisadi ay matumizi mabaya ya Madaraka.
Balozi anafuatwa anapigwa na kupotezwa. Hakuna vyombo vya dola vinaguswa.
Je, kwa hali kama hiyo Mzanzibari Samia anajihakikishia vipi Ulinzi?
Kwamba Zanzibar ni salama kulikoo bara.
Tangu Nchimbi ang'atuke, samia amekuwa na hofu sana anapokuwa Tanganyika. Na siku akifa kama hajafia Oman atafia Tunguu Zanzibari.
Kudadeki
Kwa ushindi ule wa %86 😄 😄 😄Moja ya mada za kipuuzi toka kwa mtu ambaye ungedhani anafikra pevu za kutosha.
Walindwe hao watu kwa sababu zipi; wewe hujui kiasi wanavyopendwa na wananchi waliowachagua?
Watu wa aina hii ndio wanaotakiwa watekwe, kwa sababu inaonyesha ndio wanaofanya mipango ya kuwavizia viongozi wanaopendwa sana na watu wao.
Hii JF sijui imekuwaje siku hizi?
Duh!Hahahaaa... Umeongea kibabe mtu anaweza hisi unajua kitu. Hao unaosema wamechaguliwa, nambie kura alizopata Samia Suluhu jimbo moja tu. Jichagulie jimbo useme kapata kura ngapi. Hapo ndo tutajua amechaguliwa na anapendwa.
Mfano sema Jimbo la kigamboni kapata kura 4 nk. Otherwise njaa yako imehamia kichwani unabwabwaja tu.
Ile ya Madelu kumbe ni ya kweli?kama bishop gwajima ana ulinzi mkali sana,
nani alifanikiwa kupata nafasi ya kurekodi video ya kumbumkumbu wakati bishop gwajima anamtafuna kondoo wake namna ile? nadhani sote ni mashahidi na tulishuhudia gwajima akimtafuna kondoo wake. Je, kuna ulinzi mkali pale?
ilikuaje haswa? walinzi walisinzia shetani akafanya kazi yake ama ni nini ilitokea gentleman?
Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
View attachment 3689920
Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa ulinzi wa Joseph Gwajima au Paul Kagame? Achilia mbali huu ulinzi feki wa kupewa na Wambura.
View attachment 3689923
Mfano kifo cha Magufuli, Magufuli kafa ndani wakati nje kuna Walinzi 80 wenye Bunduki na magazine mbilimbili.
Kifo cha mume wa Samia, Kupotea kwa Polepole, kufukuzwa kwa Nchimbi nk.
Au Shehe Mwaipopo kumshambulia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
View attachment 3689927
Haya matukio naona ni uzembe na sifa za kijinga, ulimbukeni na ulevi wa madaraka. Yaani kiongozi wa Tanzania ni mapambo tu, haijalishi anaongea kwa kufoka kiasi gani. Anajiona analindwa kumbe masanamu tu yamemzunguka.
Yaani adui anaweza akaja akajichagulia Viongozi wa kuua kama kuku bandani. Na kuku waliobaki wanashangaa hata kelele hawapigi.
Ndo maana hata nikisia Samia Suluhu kafa siwezi kushangaa..
View attachment 3689926
Hebu fikiria Kifo cha John Magufuli halafu akajazwa ujinga tutakutibia Makumbusho kwa siri akakubali. Alijua usalama wa Taifa upo kwaajili yake kumbe watu wapo kwenye ajira familia zao zile hata hakuna anayejali unakufa au hufi.
Mume wa Samia anafia hospitali ya Mnazi mmoja.
Nchimbi anafukuzwa uanachama kisa kudai Katiba mpya. Sio kwamba kafukuzwa sababu ya Ufisadi ay matumizi mabaya ya Madaraka.
Balozi anafuatwa anapigwa na kupotezwa. Hakuna vyombo vya dola vinaguswa.
Je, kwa hali kama hiyo Mzanzibari Samia anajihakikishia vipi Ulinzi?
Kwamba Zanzibar ni salama kulikoo bara.
View attachment 3689928
Tangu Nchimbi ang'atuke, samia amekuwa na hofu sana anapokuwa Tanganyika. Na siku akifa kama hajafia Oman atafia Tunguu Zanzibari.
Kudadeki
Mkuu hizo damu kwenye hilo gari mhanga alikua ni li-ccm gani?Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
View attachment 3689920
Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa ulinzi wa Joseph Gwajima au Paul Kagame? Achilia mbali huu ulinzi feki wa kupewa na Wambura.
View attachment 3689923
Mfano kifo cha Magufuli, Magufuli kafa ndani wakati nje kuna Walinzi 80 wenye Bunduki na magazine mbilimbili.
Kifo cha mume wa Samia, Kupotea kwa Polepole, kufukuzwa kwa Nchimbi nk.
Au Shehe Mwaipopo kumshambulia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
View attachment 3689927
Haya matukio naona ni uzembe na sifa za kijinga, ulimbukeni na ulevi wa madaraka. Yaani kiongozi wa Tanzania ni mapambo tu, haijalishi anaongea kwa kufoka kiasi gani. Anajiona analindwa kumbe masanamu tu yamemzunguka.
Yaani adui anaweza akaja akajichagulia Viongozi wa kuua kama kuku bandani. Na kuku waliobaki wanashangaa hata kelele hawapigi.
Ndo maana hata nikisia Samia Suluhu kafa siwezi kushangaa..
View attachment 3689926
Hebu fikiria Kifo cha John Magufuli halafu akajazwa ujinga tutakutibia Makumbusho kwa siri akakubali. Alijua usalama wa Taifa upo kwaajili yake kumbe watu wapo kwenye ajira familia zao zile hata hakuna anayejali unakufa au hufi.
Mume wa Samia anafia hospitali ya Mnazi mmoja.
Nchimbi anafukuzwa uanachama kisa kudai Katiba mpya. Sio kwamba kafukuzwa sababu ya Ufisadi ay matumizi mabaya ya Madaraka.
Balozi anafuatwa anapigwa na kupotezwa. Hakuna vyombo vya dola vinaguswa.
Je, kwa hali kama hiyo Mzanzibari Samia anajihakikishia vipi Ulinzi?
Kwamba Zanzibar ni salama kulikoo bara.
View attachment 3689928
Tangu Nchimbi ang'atuke, samia amekuwa na hofu sana anapokuwa Tanganyika. Na siku akifa kama hajafia Oman atafia Tunguu Zanzibari.
Kudadeki
Hapana, ni zaidi ya hiyo 86; kumbukumbu zangu zinaniambia ni takribani 98; tena toka kwa waTanzania zaidi ya milioni 31 walioshiriki kwenye uchaguzi ule.Kwa ushindi ule wa %86 😄 😄 😄
Waziri Mkuu HARAM yeye yuko busy na LIBENEKE kwa vitoto ya elfu mbili tu, Ni huzuni kwakweliIle ya Madelu kumbe ni ya kweli?
We pumbavu wahi Miremebe ukatibiweTunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi?
View attachment 3689920
Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa ulinzi wa Joseph Gwajima au Paul Kagame? Achilia mbali huu ulinzi feki wa kupewa na Wambura.
View attachment 3689923
Mfano kifo cha Magufuli, Magufuli kafa ndani wakati nje kuna Walinzi 80 wenye Bunduki na magazine mbilimbili.
Kifo cha mume wa Samia, Kupotea kwa Polepole, kufukuzwa kwa Nchimbi nk.
Au Shehe Mwaipopo kumshambulia Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
View attachment 3689927
Haya matukio naona ni uzembe na sifa za kijinga, ulimbukeni na ulevi wa madaraka. Yaani kiongozi wa Tanzania ni mapambo tu, haijalishi anaongea kwa kufoka kiasi gani. Anajiona analindwa kumbe masanamu tu yamemzunguka.
Yaani adui anaweza akaja akajichagulia Viongozi wa kuua kama kuku bandani. Na kuku waliobaki wanashangaa hata kelele hawapigi.
Ndo maana hata nikisia Samia Suluhu kafa siwezi kushangaa..
View attachment 3689926
Hebu fikiria Kifo cha John Magufuli halafu akajazwa ujinga tutakutibia Makumbusho kwa siri akakubali. Alijua usalama wa Taifa upo kwaajili yake kumbe watu wapo kwenye ajira familia zao zile hata hakuna anayejali unakufa au hufi.
Mume wa Samia anafia hospitali ya Mnazi mmoja.
Nchimbi anafukuzwa uanachama kisa kudai Katiba mpya. Sio kwamba kafukuzwa sababu ya Ufisadi ay matumizi mabaya ya Madaraka.
Balozi anafuatwa anapigwa na kupotezwa. Hakuna vyombo vya dola vinaguswa.
Je, kwa hali kama hiyo Mzanzibari Samia anajihakikishia vipi Ulinzi?
Kwamba Zanzibar ni salama kulikoo bara.
View attachment 3689928
Tangu Nchimbi ang'atuke, samia amekuwa na hofu sana anapokuwa Tanganyika. Na siku akifa kama hajafia Oman atafia Tunguu Zanzibari.
Kudadeki
yaani kiongozi wa kiroho anamtafuna kondoo wake waziwazi bila ulinzi halafu mtoa porojo anakuja kupotosha wadau wa JF kwamba bishop ana ulinzi mkali, hii si sawa na haikubaliki gentleman, plz?Ile ya Madelu kumbe ni ya kweli?