CCM ikiendelea kupuuza misingi ya uongozi ya Hayati Dkt. Magufuli, ni dhahiri watakosa kura 2025

Yani mtu alikua n mentalcase mpka madc,marc wake nao walikua n mentalcase,vibaka,wauaji...mtu wa hivyo hupuuzwa na tumeshasahau kma alikuepo
 
Mimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.

Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
Maghufuli hakuwahi kuwa mzalendo zaidi ya Lissu .
Hajawahi
 
Anzishia uzi wake wewe
 
Huitaki tena ikulu wewe
 
Mimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.

Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
Wew na Jiwe mnafaa kuwa pamoja
 
Mimi sijawahi kuwa CCM lakini ni muumini wa mapenzi mema kwa nchi yangu yeyote ataye kuwa tayari kuipiginia nchi yangu kama Magufuli huyo amebeba kura yangu pamoja na jamii yangu yote.

Except Lissu huyu anafaa kufungiwa jiwe la kusagia na kutupwa.
The one you think he deserve to die he is alive and the one you wanted him to live he is no more alive. Pole sana
 
Magufuli hakuwa CCM, alitumika tu. R.I.P
CCM imerudi.
 
Hizo ndizo CCM Chama cha Mapinduzi na Chukua Chako Mapema.

Wache wasambalitike tu dira hakuna na wanatulaghai na ilani, wakati sasa tunaona kuwa kila Raisi akiingia basi anabadilisha taswira ya kuwa au kutokuwa na Dira ya Taifa
Full stop.
 
Hapana mkuu, kuuwa, kudhurumu watu ni kosa kubwa mbele za Mungu na kwa watu wenye mfano wako, ila kuacha wezi na mafisadi yakiendelea kutesa maisha ya wengi ndio dhambi kubwa
Hivi toka Tanzania imeumbwa ishawahi kutana na fisadi wa kupiga 1.5 tirion kwa wakati mmoja kama mwendazake?
 
Hivi toka Tanzania imeumbwa ishawahi kutana na fisadi wa kupiga 1.5 tirion kwa wakati mmoja kama mwendazake?
Usiamini katika kuangalizia siku ya mtihani, utaanguka, iamini akili yako
 
kwa kizazi hiki cha waongo na walamba viatu. mna uwezo gani wa kuitoa ccm?

yaan kwa mfumo ulivyo hata waweke jiwe linashinda.
upinzani nao ndio huo haueleweki
 
Ccm haiwezi kukosaa kura jombaa kwa hivi karibuni..watz bado ni mbumbumbu vichwani mwao..kamwee hawawez kugomea matokeo kama nchi zingine.
 
Lakini ccm ijiandae kua chama cha upinzani au nasema uongo ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…