Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .
Sasa nampelekea ujumbe kwamba , ili Magazeti yaandike habari kama anavyotaka yeye basi afanye hivi , awanunue Lissu , Mnyika na Mbowe , akifanikiwa kununua hawa basi habari yake itaandikwa dunia nzima tena kwa miezi 6 mfululizo , lakini kuwanunua watu duni ambao chadema ilishawabwaga kama Dr Mashinji na Cecil Mwambe kila mara utaendelea kushutumu magazeti .