Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha
habari ile kuvuma nchi nzima , yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .
Sasa nampelekea ujumbe kwamba , ili Magazeti yaandike habari kama anavyotaka yeye basi afanye hivi , awanunue Lissu , Mnyika na Mbowe , akifanikiwa kununua hawa basi habari yake itaandikwa dunia nzima tena kwa miezi 6 mfululizo , lakini kuwanunua watu duni ambao chadema ilishawabwaga kama Dr Mashinji na Cecil Mwambe kila mara utaendelea kushutumu magazeti .