Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Wafanye wawe masikini ili uwatawale,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno kununuliwa!! Tunanunua mbuzi, kuku nk siyo kiumbe chenye akili. Kiumbe chenye akili hufanya maamuzi yawe is anakufurahisha kama ya Nyalandu au ya kukukera kama ya mashinji.Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .
Sasa nampelekea ujumbe kwamba , ili Magazeti yaandike habari kama anavyotaka yeye basi afanye hivi , awanunue Lissu , Mnyika na Mbowe , akifanikiwa kununua hawa basi habari yake itaandikwa dunia nzima tena kwa miezi 6 mfululizo , lakini kuwanunua watu duni ambao chadema ilishawabwaga kama Dr Mashinji na Cecil Mwambe kila mara utaendelea kushutumu magazeti .
Hujawahi kumfahamu Mbowe wewe .Kwa
Kwa mara ya kwanza nakuona ukiwa umekata tamaa!! Umeandika kwa hasira na uchungu!!
Usichojua ni kwamba Mbowe hajawahi kuwa mpinzani! Huko aliko anachekelea tu, mazuzu mpo mnaumiza vichwa
Je ikitokea binadamu mwenye akili akajiuza anakuwa na tofauti gani na mbuzi ?Neno kununuliwa!! Tunanunua mbuzi, kuku nk siyo kiumbe chenye akili. Kiumbe chenye akili hufanya maamuzi yawe is anakufurahisha kama ya Nyalandu au ya kukukera kama ya mashinji.
Kwa bahati mbaya mbuzi hajiuzi anauzwaJe ikitokea binadamu mwenye akili akajiuza anakuwa na tofauti gani na mbuzi ?
Hahaaa, ninyi mnaoanza kuifahamu siasa juzi mnashida sana. CHADEMA toka kuanzishwa kwake haijawahi kuwa na mtu kama DR. WILBROAD SLAA huyu alikua injini kweli kweli.Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .
Sasa nampelekea ujumbe kwamba , ili Magazeti yaandike habari kama anavyotaka yeye basi afanye hivi , awanunue Lissu , Mnyika na Mbowe , akifanikiwa kununua hawa basi habari yake itaandikwa dunia nzima tena kwa miezi 6 mfululizo , lakini kuwanunua watu duni ambao chadema ilishawabwaga kama Dr Mashinji na Cecil Mwambe kila mara utaendelea kushutumu magazeti .
Usimuamini masikini mwenye njaa. MTU masikini hawezi kuwa mwanasiasa bora.
Hujanitaja mimi,kwanini?Ilitakiwa viongozi wote wa upinzani (Zitto, Mbowe, Maalim Seif, Lipumba, Mnyika, Haji Duni, Sugu, Professa Jay, Ado Shaibu, Abdul Nondo, Lissu, Halima Mdee, Ester Matiku, Ester Bulaya, Mbunge Bwege na wengine wote) wahamie CCM kwa pamoja, kuanzia ngazi za taifa mpaka vitongoji na mitaa, tena kwa kushtukiza.
Nina uhakika CCM wenyewe wangeogopa.
Mimi hata waende wooooooote siendi CCM nng'oo,nitaungana na Hashim RungweSiku Lissu akinunuliwa basi na mimi rasmi nitatua nae CCM.
Kaondoka na wangapi ?Mjifariji tu jamaa wamechukua engine room nyie mnakula moshi halafu mnajisifia uselamavi
Wale walioumizwa si rahisi kujisalimisha kupigwa chapaIkija kwenye siasa sihitaji kabisa kumwamini mtu. Haijalishi awe rangi gani au asili gani.
Slaa alipokelewa chadema baada ya kukatwa ccm , kwahiyo hakutokea chadema , alikuwa kama lowassa , mwambe au SumayeHahaaa, ninyi mnaoanza kuifahamu siasa juzi mnashida sana. CHADEMA toka kuanzishwa kwake haijawahi kuwa na mtu kama DR. WILBROAD SLAA huyu alikua injini kweli kweli.
Ukimuuliza mwanaccm yeyote atakuambia huyu mtu alitupasua kichwa ges what karudi CCM mwee jamaniiii.
Huyu Bw. alikua mtu na nusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
nunua hadi Msando sasa hivi Msando anakula.Maisha huko Songwe walimpa ajira. Hawakuambulia chochoteWakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .
Sasa nampelekea ujumbe kwamba , ili Magazeti yaandike habari kama anavyotaka yeye basi afanye hivi , awanunue Lissu , Mnyika na Mbowe , akifanikiwa kununua hawa basi habari yake itaandikwa dunia nzima tena kwa miezi 6 mfululizo , lakini kuwanunua watu duni ambao chadema ilishawabwaga kama Dr Mashinji na Cecil Mwambe kila mara utaendelea kushutumu magazeti .
Mimi naomba nikuulize swali moja tu mkuu Erythrocyte:Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .
Sasa nampelekea ujumbe kwamba , ili Magazeti yaandike habari kama anavyotaka yeye basi afanye hivi , awanunue Lissu , Mnyika na Mbowe , akifanikiwa kununua hawa basi habari yake itaandikwa dunia nzima tena kwa miezi 6 mfululizo , lakini kuwanunua watu duni ambao chadema ilishawabwaga kama Dr Mashinji na Cecil Mwambe kila mara utaendelea kushutumu magazeti .
Baada ya ulaghai wote huu natamani kwa mara ya kwanza kabisa waTanzania waonyeshe uelewa na ukomavu wao na kutoa somo linalostahiri.Unamkaribisha katibu mkuu wa upinzani aliyepigwa chini wakati huo huo unawatuhumu na kuwatisha Makatibu wako wakuu wastaafu waliokulea wewe mwenyewe na wakakupigia debe. Kwa style hii huyu mtu si wa kumuamini hata kidogo. Hizi si akili za kawaida bali ni kukosa radhi huko!
Up to now, you should have known that, politicians have price tags, the people you have mentioned are not gold standards for opposition parties in Tanzania meaning that they can be bought too.Wakati wa biashara ya Meya wa Arusha Mjini Humphrey Pole pole aliyataja baadhi ya Magazeti kuwa ni kikwazo cha. Habari ile kuvuma nchi nzima, yaani Pole pole alitaka kuhama kwa Kalist iwe ndio habari kubwa kwenye magazeti ya siku ile , baada ya habari ile kudoda akashambulia magazeti .
Sasa nampelekea ujumbe kwamba , ili Magazeti yaandike habari kama anavyotaka yeye basi afanye hivi , awanunue Lissu , Mnyika na Mbowe , akifanikiwa kununua hawa basi habari yake itaandikwa dunia nzima tena kwa miezi 6 mfululizo , lakini kuwanunua watu duni ambao chadema ilishawabwaga kama Dr Mashinji na Cecil Mwambe kila mara utaendelea kushutumu magazeti .
Lipumba naye mpinzani/?Ilitakiwa viongozi wote wa upinzani (Zitto, Mbowe, Maalim Seif, Lipumba, Mnyika, Haji Duni, Sugu, Professa Jay, Ado Shaibu, Abdul Nondo, Lissu, Halima Mdee, Ester Matiku, Ester Bulaya, Mbunge Bwege na wengine wote) wahamie CCM kwa pamoja, kuanzia ngazi za taifa mpaka vitongoji na mitaa, tena kwa kushtukiza.
Nina uhakika CCM wenyewe wangeogopa.