Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ππππMjifariji tu jamaa wamechukua engine room nyie mnakula moshi halafu mnajisifia uselamavi
Tena wahame pamoja na wanachama wao wote.Ilitakiwa viongozi wote wa upinzani (Zitto, Mbowe, Maalim Seif, Lipumba, Mnyika, Haji Duni, Ado Shaibu, Abdul Nondo, Lissu, Halima Mdee, Ester Matiku, Ester Bulaya, Mbunge Bwege na wengine wote) wahamie CCM kwa pamoja, kuanzia ngazi za taifa mpaka vitongoji na mitaa, tena kwa kushtukiza.
Nina uhakika CCM wenyewe wangeogopa.
Huna habari huyo alishamwagwa toka December 2019?Mjifariji tu jamaa wamechukua engine room nyie mnakula moshi halafu mnajisifia uselamavi
Ilitakiwa viongozi wote wa upinzani (Zitto, Mbowe, Maalim Seif, Lipumba, Mnyika, Haji Duni, Ado Shaibu, Abdul Nondo, Lissu, Halima Mdee, Ester Matiku, Ester Bulaya, Mbunge Bwege na wengine wote) wahamie CCM kwa pamoja, kuanzia ngazi za taifa mpaka vitongoji na mitaa, tena kwa kushtukiza.
Nina uhakika CCM wenyewe wangeogopa.
Katibu Dr Vicent Mashinji anasubiri kuteuliwa kuwa DC (Mkuu Wa Wilaya). Ama kweli watu wanazilawiti elimu zao. [emoji28][emoji1][emoji2]
πππKatibu Dr Vicent Mashinji anasubiri kuteuliwa kuwa DC (Mkuu Wa Wilaya). Ama kweli watu wanazilawiti elimu zao. [emoji28][emoji1][emoji2]
Siku Lissu akinunuliwa basi na mimi rasmi nitatua nae CCM.