CCM ikitaka kupata Airtime ya kutosha iwanunue Mbowe, Mnyika na Tundu Lissu hawa mnaowanunua mtafirisika bila mafanikio

Kwa upande wangu simwamini mwanasiasa yeyote. Kwa maana hiyo yeyote yule anaweza akaamua kuhama wakati wowote kadri anavyojisikia tena bila kujali chochote.
Sasa hawa ccm wanatakiwa wanaponunua mtu basi wanunue mwenye ushawishi
 
Na Mdee, na wengine
 
Unamkaribisha katibu mkuu wa upinzani aliyepigwa chini wakati huo huo unawatuhumu na kuwatisha Makatibu wako wakuu wastaafu waliokulea wewe mwenyewe na wakakupigia debe. Kwa style hii huyu mtu si wa kumuamini hata kidogo. Hizi si akili za kawaida bali ni kukosa radhi huko!
 
Mwanasiasa sio mtu wa kuamini hata kama ni mzazi wako.
 
Wanasiasa wote ni wa kushughulikiwa kwa mawe na mijeledi
 
Hivi siku 7 bado.....tupate mrejesho wa matokeo ya yale mahojiano...pale Lumumba.
 
Tutafilisika tutakapo kosa kodi zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeyeto aliyeumizwa hawezi unga juhudi isipokuwa walioletwa na upepo wa kisurisuri wa Lowasa wote watarudi au washarudi
 
Kwa
Kwa mara ya kwanza nakuona ukiwa umekata tamaa!! Umeandika kwa hasira na uchungu!!

Usichojua ni kwamba Mbowe hajawahi kuwa mpinzani! Huko aliko anachekelea tu, mazuzu mpo mnaumiza vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…