CCM imeanza kampeni uchaguzi 2025. Jokate amuombea kura Samia, apiga magoti

Chawa tu Kama machawa wengine. Yani very stupid
 
Chawa tu Kama machawa wengine. Yani very stupid
 
Hata Chadema wangekuwa na uhakika nani anagombea 2025 wangeanza kumuombèa, mnaweza kumuombea Lissu sasa hivi mara ghafla akaunti ya Mbowe ya Cayman ikasoma paaap mgombea akawa Lowassa.
Mbeya anagombea Sugu huwa Chadema wanapiga kampeni indirect.

Chadema huwa hairudii mgombea urais.
 
Hayo mambo binafsi ya Jokate unayaweka kwenye uzi huu kwa sababu gani? Wewe kama ni mtu uliyekamilika na huna madhaifu katika hii dunia, mshukuru sana Mungu lakini usiwabeze wasiokuwa na wenza.
 
Wacha tuone kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii kama sio katibu mkuu kiongozi basi ni waziri mkuu atakuwa mwanamke!
 
Inasikitisha sana ,... So sad
Extremely saddening. Haelewi utawala bora, inashangaza sana.

Kwa saab Jokate alisoma shule za awali ubalozini USA, wakati wanarudi nyumbani wao ndio walionekana wana exposure mtaani. Ungedhani labda msingi wa elimu ya uzunguni na exposure na Kiingereza vingemsaidia kuisoma zaidi dunia na kuelewa mambo ya utawala bora.

Cha ajabu yeye ndio ana act kiswahili kuliko viongozi wenzake waliozaliwa na kukulia Tandale, Liwale, Kisarawe, hawajawahi hata kuijua Nairobi.

Kwenye kusukuma maendeleo ya nchi Maadili na Uzalendo ni muhimu kuliko Elimu na Exposure.
 
Wacha tuone kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii kama sio katibu mkuu kiongozi basi ni waziri mkuu atakuwa mwanamke!
Bi dada wa Mbeya Mgombea mwenza 2025, sababu kuu ni kumwogopa Sugu , wakati Kizimkazi anagombea uraisi.
 
Hayo mambo binafsi ya Jokate unayaweka kwenye uzi huu kwa sababu gani? Wewe kama ni mtu uliyekamilika na huna madhaifu katika hii dunia, mshukuru sana Mungu lakini usiwabeze wasiokuwa na wenza.
Ukishakuwa kiongozi huna mambo binafsi, narudia tena kwa ninyi UVCCM , ukwa kiongozi wa umma hata ukipiga chafya inatuhusu watanzania wote.
Kwahiyo hata ukienda kulewa na kulala baa ni mambo yako binafsi, wakati unapogazma ujue kila kitu ni cha umma.
 
Uchaguzi wao

Tume ya uchaguzi yao

Wasimamizi uchsguZi wao

Vyombo vya ulinzi vyao

Mahakama yao

Matokeo wanatangaza na kupanga wao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…