Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nchi inawasomi wajinga haswa kama huyu mama ndiyo maana haolewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi wao
Tume ya uchaguzi yao
Wasimamizi uchsguZi wao
Vyombo vya ulinzi vyao
Mahakama yao
Matokeo wanatangaza na kupanga wao
Ova
CCM hawana hawaheshimu chochote kwenye kupora Uchaguzi haswa wakishindwa watamtuma JECHA mwingine avunje uchaguzi.Wakifanya hivyo, huyu mama atajivunjia heshima ndogo aliyonayo.
Hapo unamtusi kiongozi, mtoto wake hayupo barabarani akiomba msaada.Kwenye makutano ya Ubungo, Mnazi mmoja , posta , oysterbay wale watoto wana baba?
Wacha tuon!Tena Waziri mkuu chawa. Itakuwa shida.