CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

Fund man

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2021
Posts
3,629
Reaction score
4,831
Habari Wana JF,

Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?

Karibuni tujadili.
 
Maandalizi yapo. Huwaoni wakina nape wako pale wametulia???

Na mwenye kazi yake anaweka watu wake anao waamini kuendesha hiyo taasisi ambayo imekuwa familia .
 
Bashiru atoe press comference tujue kilicho sirini mwake kuhusu wahujumu wa mali ya chama kabla hajawahiwa na kunyamazishwa.
 
Habari Wana JF,

Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?

Karibuni tujadili.
Marekani imekosa vijana mpaka kumpa Uspika Mh.Nancy Pelosi mwenye miaka 82?!!!

Marekani imekosa vijana wa umri wangu mpaka kumpa urais mzee mh.Joe Biden?!!!!!!

UONGOZI NI JALALA
 
Back
Top Bottom