Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Nipe mkonoCcm yote ni genge la wahuni. Hamna mwenye afadhali. Sio Jpm, Sukuma Gang wala team Msoga!
Wote hao wanajali maslahi yao kwanza
✋
Umemaliza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe mkonoCcm yote ni genge la wahuni. Hamna mwenye afadhali. Sio Jpm, Sukuma Gang wala team Msoga!
Wote hao wanajali maslahi yao kwanza
Husikii tembo wameanza kuuwawa sn?Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Maza mwenyewe watamg'oa vizuri snInaelekea mwaka 2015 haukuwepo.
Kiufupi hyo ni team ya magumashi
Wanajipanga 2025
Unataka tujadili nini sasa hapo kwa mfano?Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Hapa ndipo utambue kuwa hii nchi chini ya CCM haitakuja kuendelea hata iweje.Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Wamemzunguka kila upande, wamemzidi ujanja.Ninachoona ni kuwa CCM itarudi kwenye makundi na mpasuko baada ya muda si mrefu. Huyu mama angefanya vizuri sana iwapo angeunda CCM na serikali ya kwakwe iwapo alikuwa hataki kuendeleza iliyoachwa na aliyekuwa mkuu wake wa kazi kuliko kuokoteza CCM na serikali ya Kikwete ambayo ilikuwa na sifa kubwa sana ya makundi wakiyaita mtandao, na ufisadi uliopelekea ile list of shame!
Kwani huko kuzomewa kuliisha?Wasiwasi wangu ni kuwa tunarudi kile kipindi ukiwa umevaa shati au dela la kijani hata kama umenunua mtumbani tulikuwa tunazomewa ukiwa umelivaa mitaani.
Hakuna siku makundi na ufisadi viliisha ndani ya CCM, ulichokiona ni tofauti ya nguvu na akili tu.Ninachoona ni kuwa CCM itarudi kwenye makundi na mpasuko baada ya muda si mrefu. Huyu mama angefanya vizuri sana iwapo angeunda CCM na serikali ya kwakwe iwapo alikuwa hataki kuendeleza iliyoachwa na aliyekuwa mkuu wake wa kazi kuliko kuokoteza CCM na serikali ya Kikwete ambayo ilikuwa na sifa kubwa sana ya makundi wakiyaita mtandao, na ufisadi uliopelekea ile list of shame!
Kwa aina ya vijana walionao ambao wamekosa misimamo na kufuata mkumbo ili nao waote vitambi Kama baba zao, naweza kusema CCM haina vijana wa kuendesha chama chao bali wana vijana wachumia tumbo.Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Hata wahuni huzeeka hivyo sio kila mzee ana busara. Meko utasema alikuwa na busara gani zaidi ya ubabe na kutengeneza Hali ya kumuogopa bila sababu yeyote kisa alikuwa hataki ahojiwe?Uzee ni busara
CCM ina wenyewe! Ukiuelewa huu usemi hutapata tabuHabari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Mbona katiba mpya huwa hamjilinganishi na nchi zingine..chawa ninyi.Marekani imekosa vijana mpaka kumpa Uspika Mh.Nancy Pelosi mwenye miaka 82?!!!
Marekani imekosa vijana wa umri wangu mpaka kumpa urais mzee mh.Joe Biden?!!!!!!
UONGOZI NI JALALA