Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wengi ni wafuasi wa JPM. Lengo ni kuondoa 100% wafuasi wa JPM na kuingiza ingizo la Jakaya ili 2025 iwe rahisi kumchagua Mama kurudi Ikulu na 2030 Membe aingie kwa kishindo white house.Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
2030 membe? Agombee uraisi na miaka 78?? Si itakua kichekeshoVijana wengi ni wafuasi wa JPM. Lengo ni kuondoa 100% wafuasi wa JPM na kuingiza ingizo la Jakaya ili 2025 iwe rahisi kumchagua Mama kurudi Ikulu na 2030 Membe aingie kwa kishindo white house.
Hawajakosa vijana wakushika madaraka.isipokuwa kuna kikundi kililikuwa kimejiandaa kushika dola 2015 kikashindwa .sasa imetokea nafasi mpango wao unaendelea . usishangae Mama asigombee 2025 akawaachia wenye mradi wao wa urais.Samia anapangiwa tu kama alivyotumika kumng'oa Ndugai ambaye angeachwa angekuwa kikwazo kwenye huo Mradi.Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
nimekuelewa sana mambaMbona huyo Magufuli akumpendekeza Mwenyekiti kijana kipindi chake?! Ukweli ni kuwa ile sio ajira, ni nafasi ya kimkakati kwao na usitegemee kwa historia ya CCM nafasi hiyo kupewa mtu chini ya miaka 45 au 50.
🤣🤣🤣🤣Vijana wa CCM ni bendera fuata upepo tu, utamteua Nani, Makonda?
CCM Ina wenyeweHabari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Kigogo amechanganyikiwaVijana ambao kigogo 2014 huwa anatutambia Kuwa ccm imewaandaa sijui ndio Hawa kina
Polepole
Bashiru
Makonda
Ali hàpi
Musiiba
Sabaya
Pascal mayala
Johnbaptist
Haji manala
Kihongosi
Heri james
Sufiani
Steve nyerere
Masanja mkandamizaji
Kigogo 2014
Amos mkalai
Wote Hawa ni
vijana kichefuchefu.
HAKUNA anayekukataza, ni haki yako kupenda chama ukitakacho.Naam natarajia kufa kwa hiki chama ndani ya miongo michache ijayo.