Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vijana wengi ccm ni feki kwenye siasa. tena ina degree hadi masters lakini hopeless ever, ipo kuvaa jezi na mbwembwe nyngi ka tumbili kwenye mtiHabari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Habari Wana JF,

Kwa aina ya vijana walionao ambao wamekosa misimamo na kufuata mkumbo ili nao waote vitambi Kama baba zao, naweza kusema CCM haina vijana wa kuendesha chama chao bali wana vijana wachumia tumbo.
Hata vijana ambao ni makini ndani ya CCM ukifuatilia lazima alikuwa upinzani kabla ya kujiunga meza kuu na kuanza kufundishwa namna ya kuitafuna keki ya taifa.
Hapa ndipo utambue kuwa hii nchi chini ya CCM haitakuja kuendelea hata iweje.
Serikali ya CCM haipo madarakani kuiendeleza hii nchi na ndiyo maana hawataki katiba mpya.
Kwenye hii safu naona kama mama ndo amekaa ki mchongo hapo ana tembea na wasiwasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli kulikuwa na ufisadi kama ule wa huko nyuma ni Bora useme ufisadi wenyewe ni kwenye nini, mfano kule kulikuwa na makampuni kama RichmondHakuna siku makundi na ufisadi viliisha ndani ya CCM, ulichokiona ni tofauti ya nguvu na akili tu.
CCM ya Magufuli ilikuwa ya kifisadi ikisadiwa kuficha ufisadi huo na POLISI au vyombo vyote vya dola kwa amri ya mtu mmoja, ila hii ya JK ilikubali kukosolewa hadharani na kuacha watu wataje hiyo list of shame.
Nani angeweza kutoka hadharani amtaje Magufuli kama fisadi wakat aliyejaribu kuhoji kitu cha msingi kala shaba mchana kweupe?
Miaka 71 ni mzee sana! Labda huko kijijini.Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Miaka 71 ni mzee sana! Labda huko kijijini.Habari Wana JF,
Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?
Karibuni tujadili.
Ongesa Mnyeti, Jerry Muro, Mrisho GamboVijana hawa hawa wakina Bashite,Hapi,Sabaya na Kibajaji?
lipo wazi kabisa...eti kina makonda,ali happy,sabaya,jerry muro ....fuc*****n gangsHii maanayeke ni kwamba huko mbeleni CCM itakosa viongozi Bora.