CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

CCM imekosa vijana wenye sifa mpaka kumpa kazi Mzee Kinana mwenye miaka 71?

Sioni Kijana kwa CCM anayeimudu nafasi hiyo! UVCCM waendeleze mapambano na BAVICHA tu 2025 inakaribia.
 
Miaka 71 ni mzee sana! Labda huko kijijini.

Katika Hali ya kawaida 60 ni mzee,ndio maana hata sarikalini anapaswa kustaafu(hasa katika utumishi wa umma).kisiasa wanaendelea Ila kwa mateso miili Yao inakuwa imechoka hata akili pia.
 
Ndiyo ujue hapa jamiiforum tunabishana na mapapai tu kama ..

Elitwege
John Baptist
Kipara kipya
Yehodaya
Changu wa malunde..... Hawa wote ni hamnazo.
 
Hakuna mpango wa kuwaandaa vijana ndani ya CCM? Huko mbeleni chama kitakufa.
We umamuona Chongolo ni mzee? Na shaka ni mzee?inaelekea hesbau za kulinganisha ulipata zero
 
Habari Wana JF,

Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?

Karibuni tujadili.

Inaelekea hii ni nafasi kwenye chama hicho ya wazee. Ni lini uliona makamu mwenyekiti kijana
 
Habari Wana JF,

Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?

Karibuni tujadili.

Ccm sio chama cha vijana bali ni chama cha wazee. Hata vijana kadhaa wameanza kupewa nafasi baada ya wao kuona wanazidiwa nguvu na mvuto na wapinzani. Hata vijana wengi waliopewa nafasi ccm sio kwa uwezo wao wa kiuongozi, bali mbeleko, kujuana na kujipendekeza. Na kwasababu wengi hawana uwezo ama mawazo huru, ndio unaona viongozi huko kwao wanatangazwa kushinda kwa 100%, na wote wanaona sawa!
 
CCM vijana wengi ni chawa, Bora hao wazee.sipati picha siku wazee hao wakiondoka. Sioni kabisa ushawishi wa kina nape, bashite, polepole, January, Ridhiwani. Hao wote wanatembea migongoni mwa hao wazee
 
Marekani imekosa vijana mpaka kumpa Uspika Mh.Nancy Pelosi mwenye miaka 82?!!!

Marekani imekosa vijana wa umri wangu mpaka kumpa urais mzee mh.Joe Biden?!!!!!!

UONGOZI NI JALALA

Walikuwa wamestaafu hao wamarekani?
 
ndiyo maana Magufuli alikuwa anachukua vijana kutoka Chadema✌🏾
Mbona huyo Magufuli akumpendekeza Mwenyekiti kijana kipindi chake?! Ukweli ni kuwa ile sio ajira, ni nafasi ya kimkakati kwao na usitegemee kwa historia ya CCM nafasi hiyo kupewa mtu chini ya miaka 45 au 50.
 
CCM vijana wengi ni chawa, Bora hao wazee.sipati picha siku wazee hao wakiondoka. Sioni kabisa ushawishi wa kina nape, bashite, polepole, January, Ridhiwani. Hao wote wanatembea migongoni mwa hao wazee

Kwa bahati mbaya ccm haitegemei ushawishi wa kisiasa kukaa madarakani, bali mafungamano yao na vyombo vya dola. Na kinachofanyika hivi sasa hata huko kwenye vyombo vya dola wanaopewa vyeo ni watu wao, hivyo kunakuwa na mafungamano ya kihalifu baina ya ccm na vyombo vya dola. Namna pekee ya kuwatoa ni kutokea machafuko, au mapinduzi ya kijeshi kwa muda kisha uongozi wa nchi kupangwa upya.
 
Habari Wana JF,

Moja kwa moja kwenye mada. Hivi kwa ukongwe wa chama hiki, ni sahihi kuweka Makamu Mwenyekiti wa umri wa miaka 71?. Ina maana chama hakiandai vijana wa kuendeleza chama siku za usoni?

Karibuni tujadili.
Umesahau kwamba ccm ni ile ile

Kama vijana wenyewe wa ccm ni sampuli ya akina musiba na musukuma bora Kinana aendelee kula mema ya chama
 
Enzi za Mwalimu Nyerere yeye alianza ku mold vijana kutokea chipukizi,kaja na youth league,Baadae wanapikwa kijeshi,na kupigwa msasa pale Kivukoni ndio hao akina, Jenerali Ulimwengu, Chimoto,Kinana,Kikwete, Lukuvi,Ole Sendeka,Yusuf Makamba.

Lakini wakati wa Magufuli aliwapa madaraka bila kuwandaa kiitikadi ndio hao akina Sabaya,Makonda,Hapi,nawengine wakawa shida kuliko mkoloni.wakajiona Mungu watu.
Na kama ingekuwa fair play ya uchaguzi mkuu CCM ingepata taabu sana kushinda.
 
Back
Top Bottom