CCM imempa Mbowe nguvu isiyokuwa na mfano

Si ndio kama hivi wanawarithisha watoto wao ili mfumo wao wa kiutawala udumu?. Watoto nao watawarithisha watoto wao.
Kama Roma Empire, Gadaff, Mubarack, Ottoman empire ziliangushwa na CCM itaangushwa lini hapo sijui
 
Subiri atoke kwanza ndiyo uione hiyo nguvu. Nyie mnacheza na Dola mnazania mko mtaa wa Ufipa.
 
Kwangu mimi Mbowe namuona alikosea busara na timing ya namna ya kudai Katiba Mpya. Samia alianza kwa kumdungulia Akaunti zake, kumshtaki Sabaya aliye harass WAPINZANI wa wilaya ya Hai, kusababisha kesi ya Mdude kufutwa, na kesi ya Akwilina kupinduliwa. Bahati mbaya Mbowe akaona Samia ni mnyonge. Ndipo akaanza mikutano ya matusi kwa kuwapandisha majukwaani akina MdudeChadema na kuanza kupiga kelele za Katiba mpya.

Ile kiburi ya Mbowe ndiyo imemuweka ndani, wenye dola wakapekua mafaili wakapata cha kupeleka Mahakamani
 
huo ni ushabiki tu yaani mtaani hakuna hta anayezungumzia hiyo kesi zaidi ya nyie kwenye mitandao watu wako bize na kazi zao tu alilikoroga acha urioamnyweshe
 
Ukimpiga chura teke unamuongezea mwendo tu,viongozi na washauri wao wengi kichwani hamna kitu...ni ngumu kwao kuliona hili.
 
Atakapotoka Jela, mtaji wake kisisasa utakuwa ni mkubwa wa kutisha , na bila Shaka akiendeleza moto wa katiba mpya, bila Shaka watawala wataachia katiba moya
 
Kesi ikiendelezwa hadi 2025 je?
Ndo itakuwa poa sana maana ni kipindi cha uchaguzi na hii itakuwa kaburi la watawala waovu.

Kumuondoa mapema kabla ya 2025 kitasaidia haya mambo kusahaulika LABDA.

Pia kuchelewa au kuwahi kumtoa yote yana faida kwa Mbowe,in short watahaibika sana
 
Ndo itakuwa poa sana maana ni kipindi cha uchaguzi na hii itakuwa kaburi la watawala waovu.

Kumuondoa mapema kabla ya 2025 kitasaidia haya mambo kusahaulika LABDA.

Pia kuchelewa au kuwahi kumtoa yote yana faida kwa Mbowe,in short watahaibika sana
Sawa sawa
 
Sio kwa ccm wewe
 
 
Ebu nisaidie nami nipate kujua ukabila wa chama hiki upo wapi?
CHADEMA Wana uongozi wa juu tukianza mwenyekiti makamu mwenyekiti katibu mkuu bara naibu katibu mkuu bara.
Na huko visiwani Hawa viongozi wote ni kabila gani na gani na wanatokea mikoa gani?
Ili niamini hicho unachosema kama kipo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…