CCM imempa Mbowe nguvu isiyokuwa na mfano

Ccm wameshindwa kabisa kuwaunganisha watanzania wawe wamoja wanaendesha nchi kwa propaganda na usanii tu.

Ndio hiki wanachofanya kwa Freeman Mbowe kumtengenezea kesi ya kipuuzi ili kujipa ahueni ya kisiasa.
 
Ashukuriwe informer kwakuchomesha anahitaji kupewa nishati wakati ukifika
 
CCM imejaa watu wajinga sana.
Mno. Nakumbuka kuna kesi nyingi sana za kubumba ambazo enzi za mwenda zake zilijaza mahakama zetu. Nyingi wamemwagana nazo
 
Njia pekee ya mlalahoi kufaidika ni bunge ni kwa wanasiasa kubishana kwa nguvu za hoja na sio kilutumia polisi na mahakama
 
Kwenye daladala la mbagala! Kweli jamaa kawa maarufu, siku nyingine anzisha swala la Sabaya uone kama daladala nzima italipuka au la.
 
FUTA
 
Yaani hii promotion wasiombe apate jukwaa. Hangaya atabomolewa kila kona. Wamejipalia moto acha uwaunguze.
 
Mtoto wa shwetwaini yupo steti
 
Yaani hii promotion wasiombe apate jukwaa. Hangaya atabomolewa kila kona. Wamejipalia moto acha uwaunguze.
Yaani kumfunga wanaogopa kumwachia wanaogopa kumshikilia muda mrefu shida,,,yaani mavi yanagonga chupiiiii
 
AMEN
 
Hayo ni mawazo yako. Mbowe si kitu Nchi hii ni mhuni wa kawaida sana na msijidanganye kuwa kapata mileage agombee urais. Mama is still there.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…