Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM.
Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa ujumla wao, huwa ni kusubiri kwa hamu na gamu, matokeo ya kilichojiri ndani ya vikao hivyo muhimu vya juu vya chama na Serikali.
Huwa ni shangwe, nderemo na vifijo ndani ya CCM yenyewe, ndani ya upinzani kwa wakereketwa wa CCM, na kwa wananchi wote kwa ujumla, kwa yale maamuzi au hatua zinazochukuliwa na chama chama hicho tawala Tanzania na serikali yake Sikivu.
Ndiyo maana hata kwenye chaguzi za CCM, za mchujo wa udiwani, ubunge na urasi, wapinzani husubiri kwa hamu sana, CCM imalize kwanza mchujo wake, kwasababu macho na maskio ya waTanzania yatakuwa huko, ndipo sasa nao waanze zoezi lao, wakisubiria watakaokataliwa CCM ili wawape nafasi huko upinzani ambako kuna wakereketwa wa CCM pia..
Kiufupi chaguzi za mchujo ndani ya CCM huwa zina msisimiko zaid ya hata uchaguzi mkuu wennyewe, kwasabb wananchi tayari wanakua waneshaamua nani awe kiongozi wao, tangu mchujo wa CCM.
Uchaguzi mkuu ni hua ni kukamilisha ratiba, katiba na taratibu za sheria za nchi tu..
So, kwakweli, CCM ina enjoy sana massive sapoti ya wafuasi na wakereketwa wake waliopo ndani ya vyama vya upinzani. na hii ndio chachu ya ushindi wake wa kishindo na wa uhakika katika kila uchaguzi 🐒