CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Hili suala la Kuimarisha Miundo mbinu ya Umeme analolifanya Mama Samia ni Hongere zzake kama raisi kwa kutimiza wajibu wake wa kutuletea Ukombozi wa Nishati, japo kwa kuchelewa sana, lakini heri hilo kuliko kukosa kabisa.

Ila CCm naonesha kama chama Imeshindwa kuwa na Vission ya Muda mrefu, Inangoja mpaka Bwawa la mtera lime jaa tope ndio wanafikiria kujenga jingine.

Huu ni aina ya Ukosefu wa Uoni wa kisereikali. Ndo maana Ya kuwasifu ni machache mno kuliko ya kuwalaumu
 
Mlipotoka mnapajua wewe na nani? Kwani mlianza lini safari na sasa mpo wapi wewe na hao wenzako?

Buku ninapopajua bado umeme haujakaa sawa,maji ni tabu,tozo kibao,huduma za afya duni,rushwa imetamalaki

Je ukiangalia ninastahili kuungana nawewe kupongeza au mimi nilalamike na kudai haki?

Usipuuzie naomba majibu mkuu
 
Kijana umezaliwa mwaka gani
 
Hili suala la Kuimarisha Miundo mbinu ya Umeme analolifanya Mama Samia ni Hongere zzake kama raisi kwa kutimiza wajibu wake wa kutuletea Ukombozi wa Nishati, japo kwa kuchelewa sana, lakini heri hilo kuliko kukosa kabisa.
Ila CCm naonesha kama chama Imeshindwa kuwa na Vission ya Muda mrefu, Inangoja mpaka Bwawa la mtera lime jaa tope ndio wanafikiria kujenga jingine.
Huu ni aina ya Ukosefu wa Uoni wa kisereikali.
Ndo maana Ya kuwasifu ni machache mno kuliko ya kuwalaumu
Tutake radhi wana CCM
 
Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.

Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Hao uliowananga watakuelwa vipi kama uzi wako umekosa nyama ya kuwaelewesha hiko ulichokisimamia katika kichwa cha habari cha uzi wako. Wakikukejeri utajisikiaje babu?
 
Ukiongea hivyo utakuwa na. Matatizo kichwani, hi nchi mko nayo toka uhuru hamjainyakua toka tawala yoyote ya Chama, nchi bado inatambaa imeshindawa hata kusimamia dede, nchi inakila kitu bado ni misiba kila sekta, mnataka msifiwwe kwa lipi?

Muda mwingine tulizeni Taya, zenu
 
Mkuu upo serious kweli kusema nchi inatambaa.Unajua wana CCM hatulai usiku na mchana kujenga nchi.
 
Maana uliponiuliza tulipotoka tunapajua wenyewe ikabidi nikuulize,ungekua mhenga ingejua tulipotoka
Nimekuelewa mzee. Ila wewe unaweza ukaangalia ulipotoka kwa uhenga na uzoefu wako. Mimi ninawwza nikaangalia mahitaji ya wakati huu,matumizi ya viongozi wetu ikiwemo misafara yao,magari,makazi yao pamoja na matumizi mengine mabaya ambayo hayajapewa baràka na wananchi mfano wizi,rushwa nk

Inawezekana mimi ninatamani tusonge mbele kwa kasi sana halafu wewe unatazamatu ulipotoka na ulipo hapo tunakua niwatu wawili tofauti

Hata hivyo jamii hujengwa na mawazo kinzani. Tukiwa na mitazamo tofauti sio dhambi muhenga
 
Nakuelewa kijana wangu,na nategemea utatupa mkono wa pongezi kwa hapa tulipowafikisha since 1960.
 
Back
Top Bottom