Tukikupa mifano ya nchi tulizokuwanazo sawa kiuchumi mwaka 61 na Leo utashangaaChangamoto hazikosekani ila tumepiga hatua mkuu katika nyanja nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukikupa mifano ya nchi tulizokuwanazo sawa kiuchumi mwaka 61 na Leo utashangaaChangamoto hazikosekani ila tumepiga hatua mkuu katika nyanja nyingi
Hatua za mwendo wa kinyonga nakubaliana na wewe.Changamoto hazikosekani ila tumepiga hatua mkuu katika nyanja nyingi
Kijana umezaliwa mwaka ganiMlipotoka mnapajua wewe na nani? Kwani mlianza lini safari na sasa mpo wapi wewe na hao wenzako?
Buku ninapopajua bado umeme haujakaa sawa,maji ni tabu,tozo kibao,huduma za afya duni,rushwa imetamalaki
Je ukiangalia ninastahili kuungana nawewe kupongeza au mimi nilalamike na kudai haki?
Usipuuzie naomba majibu mkuu
Tutake radhi wana CCMHili suala la Kuimarisha Miundo mbinu ya Umeme analolifanya Mama Samia ni Hongere zzake kama raisi kwa kutimiza wajibu wake wa kutuletea Ukombozi wa Nishati, japo kwa kuchelewa sana, lakini heri hilo kuliko kukosa kabisa.
Ila CCm naonesha kama chama Imeshindwa kuwa na Vission ya Muda mrefu, Inangoja mpaka Bwawa la mtera lime jaa tope ndio wanafikiria kujenga jingine.
Huu ni aina ya Ukosefu wa Uoni wa kisereikali.
Ndo maana Ya kuwasifu ni machache mno kuliko ya kuwalaumu
Sijakuelewa mkuuHatua za mwendo wa kinyonga nakubaliana na wewe.
Kwakweli umepatia mimi nikijana sio mzee wala sio motto,hapo unaweza ukakadiria bosiKijana umezaliwa mwaka gani
Maana uliponiuliza tulipotoka tunapajua wenyewe ikabidi nikuulize,ungekua mhenga ingejua tulipotokaKwakweli umepatia mimi nikijana sio mzee wala sio motto,hapo unaweza ukakadiria bosi
Kukopa ni sehemu ya maisha mkuu.Nchi zote zinakopaUkilinganisha rasilimali tulizonazo na tulipo ni vituko kabisa...
Tuendelee kukopa.
Hao uliowananga watakuelwa vipi kama uzi wako umekosa nyama ya kuwaelewesha hiko ulichokisimamia katika kichwa cha habari cha uzi wako. Wakikukejeri utajisikiaje babu?Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa.
Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Sijakuelewa mkuu swali lako???Hao uliowananga watakuelwa vipi kama uzi wako umekosa nyama ya kuwaelewesha hiko ulichokisimamia katika kichwa cha habari cha uzi wako. Wakikukejeri utajisikiaje babu?
Nilichomaanisha ni kwamba nini hasa CCM wamefanya mpaka sasa tangia TANU-CCM? Ndio nyama ninazoziulizia ili vijana wasasa wapate kuelewaSijakuelewa mkuu swali lako???
Wanaelewa sana,sema tu nyie vijana ni mabingwa wa kulalamikaNilichomaanisha ni kwamba nini hasa CCM wamefanya mpaka sasa tangia TANU-CCM? Ndio nyama ninazoziulizia ili vijana wasasa wapate kuelewa
CCM yote mazuri yanaonekana,sema tu vijana wanajifanya hawayaoni.Nilichomaanisha ni kwamba nini hasa CCM wamefanya mpaka sasa tangia TANU-CCM? Ndio nyama ninazoziulizia ili vijana wasasa wapate kuelewa
Mkuu upo serious kweli kusema nchi inatambaa.Unajua wana CCM hatulai usiku na mchana kujenga nchi.Ukiongea hivyo utakuwa na. Matatizo kichwani, hi nchi mko nayo toka uhuru hamjainyakua toka tawala yoyote ya Chama, nchi bado inatambaa imeshindawa hata kusimamia dede, nchi inakila kitu bado ni misiba kila sekta, mnataka msifiwwe kwa lipi?
Muda mwingine tulizeni Taya, zenu
Nimekuelewa mzee. Ila wewe unaweza ukaangalia ulipotoka kwa uhenga na uzoefu wako. Mimi ninawwza nikaangalia mahitaji ya wakati huu,matumizi ya viongozi wetu ikiwemo misafara yao,magari,makazi yao pamoja na matumizi mengine mabaya ambayo hayajapewa baràka na wananchi mfano wizi,rushwa nkMaana uliponiuliza tulipotoka tunapajua wenyewe ikabidi nikuulize,ungekua mhenga ingejua tulipotoka
Nakuelewa kijana wangu,na nategemea utatupa mkono wa pongezi kwa hapa tulipowafikisha since 1960.Nimekuelewa mzee. Ila wewe unaweza ukaangalia ulipotoka kwa uhenga na uzoefu wako. Mimi ninawwza nikaangalia mahitaji ya wakati huu,matumizi ya viongozi wetu ikiwemo misafara yao,magari,makazi yao pamoja na matumizi mengine mabaya ambayo hayajapewa baràka na wananchi mfano wizi,rushwa nk
Inawezekana mimi ninatamani tusonge mbele kwa kasi sana halafu wewe unatazamatu ulipotoka na ulipo hapo tunakua niwatu wawili tofauti
Hata hivyo jamii hujengwa na mawazo kinzani. Tukiwa na mitazamo tofauti sio dhambi muhenga