CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Una hakika na haya unayoyasema ndugu yangu???
 
Mtanzania wa maisha ya kimasikini level ya kati, anaweza jenga nyumba moja kwa miaka 10 akamaliza.

Dar pekee yake, haina karibia kila kitu, kwa miaka 60 sasa, wamefanya nini unasema?
Sidhani kama upo sahii kaka katika hili
 
Ujinga ni Mtaji....Mbogamboga FC
 
Haki yake ipi tumpe
 
Hakika.
Tuelimishwe, tuendeleze kudumisha Amani.

'Tunaimani na.....Oyaa.....Oyaa Oyaaa'

Kidumu!
 
Ukilinganisha Tanzania na nchi kama Singapore au Malaysia ambazo wakati wa Uhuru kulikuwa nao sawa au kuwazidi na pale nchi hizo za Singapore na Malaysia zilipofikia.

Kwa raslimali ambazo tunazo viongozi wote wa CCM wanatakiwa kupelekwa jela na kuchapwa viboko vingi sana. Kwa Kwa ujumla ukiangalia Kwa umakini viongozi hao wametumia madaraka waliyo ya grab Kwa wananchi kujinufaisha wao na familia zao Kwa kujilimbikizia mali na ukwasi mikubwa sana kulipo hata wafanyabiashara ukilinganisha na mishahara yao.

Just imagine viwanasiasa kama vikina Biseko kuwa tu kwenye wizara ya madini kinawezaje kumiliki ghorofa Kariakoo?

Acha ujinga wewe mtoa post. Hii nchi ma CCM wameinajisi kupitia kiasi inabidi wapumzishwe , wafilisiwe pamoja na kupelekwa jela
 
Umerogwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…