CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Una hakika na usemayo au ni mihemuko tu ya kisiasa mdogo wangu????Karibu uchangie
 
Ben Saanane
Azory Gwanda
Tundu Lissu
Akwilina
Tozo
Makinikia
Richmond gate
AnnBen Co. Ltd
Inflation
Illiterate level kuwa juu
Uhalifu dhidi ya kaki za binadamu
Na kadhalika na kadhalika
Umezaliwa era ipi mdogo wangu na mada umeielewa hapo juu???
 
Nakazia:
Naipongeza CCM kwa kututoa kwenye umasikini na kutupeleka kwenye ufukara.
 
Kabla ya 1961 palikuwa na mfumo wa Vyama vingi.

Umewahi kujiuliza vingeendelea kuwepo, na chama cha upinzani kingechukua uongozi mwaka 1970,

Tungekuwa wapi kama Nchi hivi Leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…